Pre GE2025 Lissu: Jeshi la Polisi fanyeni kazi ya kutusaidia kwenye maandamano kama mnavyofanya kwa Makonda

Pre GE2025 Lissu: Jeshi la Polisi fanyeni kazi ya kutusaidia kwenye maandamano kama mnavyofanya kwa Makonda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wamefanya maandamano na wanadai watangaziwe.Gari la matangazo la Chadema lilikuwa linazunguka mitaani likitangaza.Kazi yake ilikuwa nini?Yaani mnataka msimamishe shughuli za wananchi kupata riziki zao za kila siku?
Wacheni kudeka.
Wewe ni mjinga!
 
Anachanganya msafara na maandamano
Msafara dakika tu umeshapita na unapishana na magari mengine

Maandamano Barabara lote wanajaa watu
Maandamano hayatakiwi kusimamisha shughuli za wananchi
 
Watajiongozaje wakati ulikuwa ukisema kwanini wasiwe front hao viongozi? Au umesahau kauli yako ile kuwa Lissu amekimbia maandamano ameenda kucheki mechi Ivory Coast?
Huyo ndiye wale tunaita vilaza waongo.
Ukiwa muongo lazima uwe na kumbukumbu nzuri.
Hao ndio mambuzi sasa.
 
Wamefanya maandamano na wanadai watangaziwe.Gari la matangazo la Chadema lilikuwa linazunguka mitaani likitangaza.Kazi yake ilikuwa nini?Yaani mnataka msimamishe shughuli za wananchi kupata riziki zao za kila siku?
Wacheni kudeka.
Mbona Lisu ameongea vizuri tu ndugu, maana ni muhimu maelekezo yatoke kwenye chombo kinachosimamia usalama ili kuepusha usumbufu na maafa. Yakitokea maafa atakayelaumiwa ni Jeshi la Polisi ambalo ndilo lenye dhamana ya kulinda usalama wa watu na mali zao. Ndio maana hata taarifa za kusudio la maandamano hupelekwa Polisi.
 
Lissu amesema sehemu nyingine duniani Polisi hutaja njia ambako maandamano yatapita na kutoa tahadhari kwa wafanyabiashara pamoja watu wanaotumia barabara hiyo wajue itatumika kwa maandamo, lakini maandamano ya CHADEMA yanafanyika huku magari yanaingilia msafara wao wa maandamano.

Akiongeza, kuchanganya waandamanaji na magari sio sawa kwani maafa yanaweza kutokea, na kuwataka polisi wafanye kazi yao ya kuwasaidia waandamanaji kuandamana kama wanavyofanya kwa Makonda. Akisema Makonda akifanya mikutano yake polisi wanahakikisha barabara inakuwa wazi lakini wakifanya CHADEMA ni tofauti, waandamanaji wanachanganywa na magari.

Lissu ameyasema haya leo tar 27/2/2024 akiongea na wananchi Arusha baada ya maandamano.
Ni ombi sio vibaya
 
Watajiongozaje wakati ulikuwa ukisema kwanini wasiwe front hao viongozi? Au umesahau kauli yako ile kuwa Lissu amekimbia maandamano ameenda kucheki mechi Ivory Coast?
Hahaha
 
Back
Top Bottom