Mmmh 😀😀Acha uboya ww Lisu anajipigania yeye mwenyewe mi niache kumpigia kura Samia nipigie kura wahuniZaidi ya matumbo binafsi umejitolea nini wewe na mimi? Je kuna kitu uko tayari kupigania hata kama uhai wako uko hatarini?
Kama hakuna tujitafakari badala ya kuweka uchawa mbele ya Mungu
Zaidi ya matumbo binafsi umejitolea nini wewe na mimi? Je kuna kitu uko tayari kupigania hata kama uhai wako uko hatarini?
Kama hakuna tujitafakari badala ya kuweka uchawa mbele ya Mungu
Kweli ccm mmechoka halafu mmeishiwa.. Mzee Rungwe katika umri huo na uchovu huo unamuita chuma! 😂labda chuma ulete!
Dunia ilikuwepo bila wewe na itaendelea kuwepo siku ukifa.Zaidi ya matumbo binafsi umejitolea nini wewe na mimi? Je kuna kitu uko tayari kupigania hata kama uhai wako uko hatarini?
Kama hakuna tujitafakari badala ya kuweka uchawa mbele ya Mungu
Usijidanganye. Lissu anatumikia wanaomlipa. Mbona familia yake ipo Belgium??Zaidi ya matumbo binafsi umejitolea nini wewe na mimi? Je kuna kitu uko tayari kupigania hata kama uhai wako uko hatarini?
Kama hakuna tujitafakari badala ya kuweka uchawa mbele ya Mungu
Anapigania maisha ya familia yake iliyopo ubelgiji. Anajua bila kuleta fujo watarudishwa nchini.Zaidi ya matumbo binafsi umejitolea nini wewe na mimi? Je kuna kitu uko tayari kupigania hata kama uhai wako uko hatarini?
Kama hakuna tujitafakari badala ya kuweka uchawa mbele ya Mungu
Daaah mwanaharakati kakutana na Joka la kijani,
Daaah mwanaharakati kakutana na Joka la kijani,
"Days are numbered. If not me, my son will see the revolution"
kwa tulipofikia sasa ni hali ya hatari sana, endapo ikatokea vita na majirani (hii siyo ya kuombea) kuna kundi kubwa sana la watanzania watasupport majirani
Hahahaha😀😀😀View attachment 3342475
Halafu mtu umekaa zako umetulia inaingia message ya kichoko kama hii, natamani ingekuwa na reply
Tunataka Lissu awe huru!Zaidi ya matumbo binafsi umejitolea nini wewe na mimi? Je kuna kitu uko tayari kupigania hata kama uhai wako uko hatarini?
Kama hakuna tujitafakari badala ya kuweka uchawa mbele ya Mungu
Hilo sio swali na hatujui kama Lissu atagombea sasa. Tusifikiria siasa kila wakati ndiyo maana nimesema wewe umejitolea kitu gani ambacho hujali kwa maisha yakipotea leoMmmh 😀😀Acha uboya ww Lisu anajipigania yeye mwenyewe mi niache kumpigia kura Samia nipigie kura wahuni
Kwan nyie chadema mnaungwa mkono na viongozi wangapi wa nje na bado mnaangukia pua?