Lissu kajitolea maisha yake kupigani Haki. wewe na Mimi tumejitolea nini maisha yetu

Lissu kajitolea maisha yake kupigani Haki. wewe na Mimi tumejitolea nini maisha yetu

Mimi nimejitolea kujenga ukuta ktk maisha yangu maana najua sina uwezo wa kuwashawishi watanzania weng kutoka kwenye ujinga sasa sko tyr kufa kisa watu wasiojitambua, cha muhimu nimeamua kujenga ukuta wa maisha yangu napambana mm na familia yangu nahakikisha familia yangu iko salama na inapata mahitaji yote muhimu

Sina mda wa kumsaidia mtu wala sina muda wa kumfundisha mtu , wacha nijijengee ukuta sku wajinga wakijitambua bas tutaungana ila kwa sasa ni ngome kubwa sana nimejijengea na kujifungia ndani
 
Kuna umuhimu wa kua nyati ama zebra mbugani nyati hawezi enda msaidia swala akiliwa wala hawezi kuokoa mtoto wa nyumbu asiliwe nyati anadeal na jamii yake tu
 
Zaidi ya matumbo binafsi umejitolea nini wewe na mimi? Je kuna kitu uko tayari kupigania hata kama uhai wako uko hatarini?

Kama hakuna tujitafakari badala ya kuweka uchawa mbele ya Mungu
LISU kajitoa kupigania haki, ila hapigani kwa akili kulingana na mazingira. uamuzi wake wa kutosaini ili kushiriki uchaguzi ulikua uamuzi mbovu unaodhihirisha namna wasivyotumia akili. usiposhiriki uchaguzi option iliyobaki hapo ni kupindua tu nchi jambo ambalo hakuna mtanzania anayelikubali au aliye tayari kushiriki. najua anajuta kuchukua mlengo huo. sasa hivi chauma ambacho ni ccm b wanaenda kuwa wapinzani, na wazungu watakuwa wamefumbwa midomo, wakisema tanzania hakuna demokrasia ccm watasema mbona kuna wapinzani tena wana siti 30 bungeni, ila tu chadema waliokuwa wanataka fujo ndio wamegoma kushiriki, na cdm sio mtoto pekee kwamba kila anachotaka apate.

jambo lingine, LISU hakuwa anaijua chadema na viongozi alokuwa nao, chadema kilikuwa chama cha wanafiki kuanzia mwenyekiti wao hadi viongozi wao hata hao waliobaki kina boniyai ni wanafiki wanakula kote. umeona walivyohama na kumgeuka lisu baada ya kukosa uongozi? umeona walivyojidhihirisha kuwa walikuwa wanafiki? sasa watu kama hao ndio wa kuwapigania? watu ambao wameshiba pesa, walevi na wasaliti waliosababisha vijana wengi wa kitanzania kuwa vilema, kupoteza mitaji na kazi kwa kuwapigania wao kumbe wao wanakula na ccm. chadema ilikuwa lazima kisambaratike ili ifike mwaka tupate chama halisi cha upinzani chenye sheria nzuri za ndani zinazozuia wanafiki na wasaliti kuoperate.
 
Nawna mmeanzha kuombolezha vipi mshapata kudukuwa habari za hukumu
 
Anapigania tumbo lake na guarantee ya maisha mazuri ya familia yake, hii yote ni kwasababu anataka u Rais
 
Kama unaamini kuna mtu anakupambania utakua umelogwa akili vibaya sana.
 
Back
Top Bottom