RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,806
- 2,723
LISU kajitoa kupigania haki, ila hapigani kwa akili kulingana na mazingira. uamuzi wake wa kutosaini ili kushiriki uchaguzi ulikua uamuzi mbovu unaodhihirisha namna wasivyotumia akili. usiposhiriki uchaguzi option iliyobaki hapo ni kupindua tu nchi jambo ambalo hakuna mtanzania anayelikubali au aliye tayari kushiriki. najua anajuta kuchukua mlengo huo. sasa hivi chauma ambacho ni ccm b wanaenda kuwa wapinzani, na wazungu watakuwa wamefumbwa midomo, wakisema tanzania hakuna demokrasia ccm watasema mbona kuna wapinzani tena wana siti 30 bungeni, ila tu chadema waliokuwa wanataka fujo ndio wamegoma kushiriki, na cdm sio mtoto pekee kwamba kila anachotaka apate.Zaidi ya matumbo binafsi umejitolea nini wewe na mimi? Je kuna kitu uko tayari kupigania hata kama uhai wako uko hatarini?
Kama hakuna tujitafakari badala ya kuweka uchawa mbele ya Mungu
Tone tone nimoZaidi ya matumbo binafsi umejitolea nini wewe na mimi? Je kuna kitu uko tayari kupigania hata kama uhai wako uko hatarini?
Kama hakuna tujitafakari badala ya kuweka uchawa mbele ya Mungu