Lissu kashindwa mapema?

Lissu kashindwa mapema?

Ktk mahojiano yake ya hivi juzi alisema No reform no election maana yake kwamba atafanya maandamano makubwa kuzuia uchaguzi. Mwandishi aliposema hio itakuwa vurugu? Akajibu kwamba ndani ya Katiba ni ruhusa kufanya maandamano.
Jana amesema maamuzi ya kuzuia uchaguzi yatajadiliwa ktk kikao.
Sote tunaamini maamuzi ya chama yatakuwa kushirik uchaguzi.
No reform no election inakufa hapo hapo.
Hii miaka yote tangu mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi uanze kelele za upinzani ndio hizo.
Ya Mbowe ni ya Lissu
We ndio hujielewi, wamesema No reforms No elections maana yake sio kwamba hawatashiriki uchaguzi ila uchaguzi utafanyika baada ya reforms kupatikana meaning kama hakuna reforms basi hakuna uchaguzi kufanyika.
Na wamekua open kwamba wako radhi hata Samia aongezewe miezi kadhaa ili kupisha reforms kabla ya uchaguzi kuitwa.

Kuna tofauti ya kususia uchaguzi na uchaguzi kutofanyika.
 
Naona unapotosha msimamo wa Lissu.

Lissu kasema wazi jana kuwa kushiriki uchaguzi kama wa 2019, 2020 na 2024 ni kutafuta kwenda kuchinjwa!. Yaani ni ujinga!

Kasema kuwa hawasusi uchaguzi halafu eti wengine wafanye uchaguzi, bali wanakwenda kuufanya huo uchaguzi usifanyike kabisa.

Sasa namna ya kuufanya huo uchaguzi usifanyike ni.kwa namna gani?-Subiri wakajifungie kupitia vikao wakuletee hatua za kuchukua ili huo uchaguzi usifanyike!
 
Ktk mahojiano yake ya hivi juzi alisema No reform no election maana yake kwamba atafanya maandamano makubwa kuzuia uchaguzi. Mwandishi aliposema hio itakuwa vurugu? Akajibu kwamba ndani ya Katiba ni ruhusa kufanya maandamano.
Jana amesema maamuzi ya kuzuia uchaguzi yatajadiliwa ktk kikao.
Sote tunaamini maamuzi ya chama yatakuwa kushirik uchaguzi.
No reform no election inakufa hapo hapo.
Hii miaka yote tangu mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi uanze kelele za upinzani ndio hizo.
Ya Mbowe ni ya Lissu
Atatulia tu muda ukifika
 
Malaria ishampanda hajui kuchambua hoja
 
No reform no election,siyo azimio la Lisu ni la kamati kuu nzima, na wako sahihi,ni mjinga peke yake anayeamini kuwa Tanzania huwa tuna uchaguzi. Toka 2019 mpaka leo hatujawahi kufanya uchaguzi labda maigizo ya uchaguzi.
 
GhXbR6XXQAE1OJe.jpeg
 
Anaweza kuwa akashindwa yes, lakini je sheria na kanuni zetu za uchaguzi zinaweka fair ground kwa kila chama?
Kumbuka Africa siasa ni business ya kupata maslahi
 
Naona unapotosha msimamo wa Lissu.

Lissu kasema wazi jana kuwa kushiriki uchaguzi kama wa 2019, 2020 na 2024 ni kutafuta kwenda kuchinjwa!. Yaani ni ujinga!

Kasema kuwa hawasusi uchaguzi halafu eti wengine wafanye uchaguzi, bali wanakwenda kuufanya huo uchaguzi usifanyike kabisa.

Sasa namna ya kuufanya huo uchaguzi usifanyike ni.kwa namna gani?-Subiri wakajifungie kupitia vikao wakuletee hatua za kuchukua ili huo uchaguzi usifanyike!
Kuzuia uchaguzi hawawezi, nasema kwa mdomo mpana hawawezi.
1. Maandamano hayawezi
2. Mahakamani hawatasikilizwa.
Kipi chengine?
 
Anaweza kuwa akashindwa yes, lakini je sheria na kanuni zetu za uchaguzi zinaweka fair ground kwa kila chama?
Kumbuka Africa siasa ni business ya kupata maslahi
Kama Africa siasa ni business, basi jua Lissu nae ni mwafrika. Siasa kwake kama business
 
No reform no election,siyo azimio la Lisu ni la kamati kuu nzima, na wako sahihi,ni mjinga peke yake anayeamini kuwa Tanzania huwa tuna uchaguzi. Toka 2019 mpaka leo hatujawahi kufanya uchaguzi labda maigizo ya uchaguzi.
Kwa hivyo? Mbowe atazuia kwa maandamano
 
Kuzuia uchaguzi hawawezi, nasema kwa mdomo mpana hawawezi.
1. Maandamano hayawezi
2. Mahakamani hawatasikilizwa.
Kipi chengine?
Acha kujiaminisha sana bro, hii dunia si yako pekee.
 
Back
Top Bottom