Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kuna Id humu zilikuwa zinaaminika kwa kipindi kirefu sana kama id za watu makini ambao ni wana mageuzi ya kweli.
Id hizi zilijitanabaisha kuwa watu ambao ni wana mageuzi kweli ambao kamwe usingefikiri kuwa ni watu walio kimakakati.
Sakata la Lissu kuibua maovu yanayofanywa na wanasiasa wanaojifanya wanamageuzi limetufanya wengine tuanze kuchuja tena watu ambao tulikuwa tuna waamini.
Hongereni sana wana JF mliosimama katika kweli dhidi ya udhalimu hasa okwi boban sunzu Salary Slip Mshana Jr technically. Mmeonesha kusimama kwenye kweli hasa.
Ingawa naamini CCM itaondoka madarakani ILA tunapoona kuwa nchi yetu ina wana mageuzi walio tayari kusimama kwenye kweli pamoja na kuwepo vishawishi vya fedha nyingi kutoka Chama cha Mapinduzi tunafarijika sana.