Uchaguzi 2020 Lissu kufanya kampeni mpaka usiku, hii sio hatari kwake?

Japhet Karibu

Member
Joined
Feb 27, 2020
Posts
79
Reaction score
129
Jana akiwa njiani kuelekea Moshi Lissu alifanya kampeni gizani huku wananchi wakiwasha simu na tochi zao kupata mwanga sasa je haya si kwamba anafanya makusudi ili akidhurika ailaumu serikali.

Kwanini hataki kufuata sheria zilizowekwa kuwa muda wa kumaliza kampeni ni saa 12 jioni.

Nawasilisha
 
Jipige kifuani mara tatu kisha sema "Mimi japhet Karibu" ni matako kama yalivo matako ya Shishi baby.


Wananchi wenyewe kutwa nzima wamekaa kumsubiri, wameambiwa rudin home, watu wakagoma katakata.

Kwa ule umati km Polis wangeusambaratisha kwa mabomu basi ingekua ni hatari kuliko hatari ambayo matope yako lichwan T.Lissu alifanya makusudi.



Amefikaz yaan watu wamsubiri mpaka muda huo, wengine mpaka wakaenda kwenye Hotel alofikia... Asiwasalimie?????? Unahisi iyo kesho yake wangekuaje?? Wangemtafasiri Lisu km kiongozi gan???



Kama hujanielewa....jipige tena kifuani mara tatu kisha sema " Mimi Japhet karibu ni mjinga wa kupindukia".
 
Nyie ndio mataahira ambayo Lisu anajivunia kuwa nayo!

Mleta mada kaleta mada nzuri sana hii! Waliosema kampeni mwisho saa 12 hawakuwa wajinga. Lisu nae alivyo mbumbumbu anatokeza tu bichwa lake eti kisa kuna umati wa watu wakati anaona ni usiku!.
Angepipolewa mawe angemlaumu nani kwa usiku ule?
 
sema 'mimi Jafet Karibu ni mjinga wa kupindukia'
 

..Tundu Lissu alifanya jambo la hekima sana jana alipokuwa Moshi.

..wananchi wale walikuwa wengi na waliazimia kutokuondoka uwanjani mpaka waonane na Tundu Lissu.

..Lissu alitumia busara kufika pale, ku-control ile crowd, na kupelekea wananchi wakaondoka kwa AMANI.

..Je, Polisi wangeweza kuwatawanya wananchi wale? Kwanini Polisi hawa-appreciate kile alichokifanya Tundu Lissu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi saa 12 jioni simpaka iiishe ifike saa moja ndo saa 12 inaisha, alafu vitu vingine tunapaswa kutumia hekima siyo nguvu Sasa mtu amechelewa kwasababu zilizonje ya uwezo wake kafika kawaambia watawanyike kosa liko wapi? Mfalme Sulemani aliomba hekima kitu kilichompa kibali kuingiza taifa, Mambo yote nje ya Sheria tunahitaji kutumia hekima ili tupate kibali machini kwa watu na Mungu.
 
Ni kusudi na kiburi
 
Hapana watu waligoma kutoka na muda.haurusu kuwahutubia alienda kuwatawanyisha na kuwahidi atalanta mkutano kipindi kingine wananchi wakija kusanyika nivizuri tukatumia style hiyo kuidhibiti mob sycology mie kukuona amehutubia pale
 

Umekunywa maji ya bendera gani?
 

Huo ni ujumbe tosha kwamba mwaka huu ni kupiga kura,Linda kura mpaka mshindi apatikane.
 
Mwisho ni saa 12:00 jioni
 
Hakupaswa kuzungumza wale ni watu wazima wangeondoka wenyewe
 
Polepole alisema kuwa watu huwa wanajitokeza kwenye mikutano yao na njiani kwanzia SAA 12 kasorobo mbona hashughulikiwi?
 
Huyu msaliti Lissu ametumwa na mabeberu wakina Robert Amsterdam ili watz wapigane ili waibe rasilimari zetu ndiyo maana anafanya hivyo makusudi kabisa.
 
Hakupaswa kuzungumza wale ni watu wazima wangeondoka wenyewe

..tuache uchochezi ndugu zangu.

..Lissu alifika pale uwanjani kuwaomba wananchi watawanyike kwa AMANI.

..hata waliomsubiri ktk hoteli aliyofikia nao aliwasihi watawanyike waende wakapumzike.

..siyo vizuri kuvichochea vyombo vyetu vya ulinzi dhidi ya watu wanaofanya siasa zao kwa amani.

..so far kampeni hizi zilikuwa za amani. hata tume ya haki za binadamu walisifia kwamba kampeni hizi polisi hawajatumia mabomu. sasa kwanini tuanze kuwachochea sasa hivi waharibu kampeni na uchaguzi wetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…