Uchaguzi 2020 Lissu kufanya kampeni mpaka usiku, hii sio hatari kwake?

Uchaguzi 2020 Lissu kufanya kampeni mpaka usiku, hii sio hatari kwake?

..Tundu Lissu alifanya jambo la hekima sana jana alipokuwa Moshi.

..wananchi wale walikuwa wengi na waliazimia kutokuondoka uwanjani mpaka waonane na Tundu Lissu.

..Lissu alitumia busara kufika pale, ku-control ile crowd, na kupelekea wananchi wakaondoka kwa AMANI.

..Je, Polisi wangeweza kuwatawanya wananchi wale? Kwanini Polisi hawa-appreciate kile alichokifanya Tundu Lissu?
Lisu asingefika pale wangekesha uwanjani?!
 
Lisu asingefika pale wangekesha uwanjani?!

..tuwe wakweli.

..hivi kuna mwanasiasa ambaye angeweza asitokee ktk eneo ambalo wananchi wengi namna ile wanamsubiri?

..jambo la msingi ni nini alichokifanya baada ya kufika pale uwanjani. Tundu Lissu alisalimia na kuwaomba wananchi watawanyike kwa AMANI.
 
Jana akiwa njiani kuelekea Moshi Lisu alifanya kampeni gizani huku wananchi wakiwasha simu na tochi zao kupata mwanga sasa je haya si kwamba anafanya makusudi ili akidhurika ailaumu serikali. Kwa nini hataki kufuata sheria zilizowekwa kuwa muda wa kumaliza kampeni ni saa 12 jioni. Nawasilisha
Adhurike kivipi? Kama mmpanga mbinu chafu mjue mnatazamwa!.
 
Jana akiwa njiani kuelekea Moshi Lisu alifanya kampeni gizani huku wananchi wakiwasha simu na tochi zao kupata mwanga sasa je haya si kwamba anafanya makusudi ili akidhurika ailaumu serikali. Kwa nini hataki kufuata sheria zilizowekwa kuwa muda wa kumaliza kampeni ni saa 12 jioni. Nawasilisha
Washington, DC — The ranking Democratic and Republican members of the U.S. House Subcommittee on Africa are packing a resolution urging the government of Tanzania to respect human and economic rights and to conduct free and fair elections on October 28.

House Resolution 1120 - sponsored by California Democrat Karen Bass, who chairs the subcommittee, and the ranking Republican, Chris Smith from New Jersey - reflects growing concern over political and economic developments in Tanzania by members of Congress who follow Africa.

Since the election in 2015 of President John Magufuli, the resolution states, "Tanzania has adopted and enforced multiple repressive laws that restrict freedom of the press, and of expression, assembly, and association." Citing reports of corruption and harassment of U.S. companies operating in Tanzania, the resolution criticizes the government's "lack of respect for contracts and business operations that threaten future U.S. businesses investment and trade partnerships."

Protection of U.S. investor rights is an issue that enjoys bipartisan support, and there are several U.S. commercial disputes in the country at this time. But the driver behind this Congressional expression of concern is the government's nearly four-year dispute with Symbion Power, centered on the breach of a 15-year power purchasing agreement for the Ubungo power plant.

Symbion is a New York-based independent power producer that develops and operates projects in several African countries and has operated in the Middle East and Asia as well.
 
Hivi saa 12 jioni simpaka iiishe ifike saa moja ndo saa 12 inaisha, alafu vitu vingine tunapaswa kutumia hekima siyo nguvu Sasa mtu amechelewa kwasababu zilizonje ya uwezo wake kafika kawaambia watawanyike kosa liko wapi? Mfalme Sulemani aliomba hekima kitu kilichompa kibali kuingiza taifa, Mambo yote nje ya Sheria tunahitaji kutumia hekima ili tupate kibali machini kwa watu na Mungu.

Mikutano mwisho ni saa kumi na mbili kamili
 
Back
Top Bottom