Tetesi: Lissu kufanya mapinduzi CHADEMA kuwavuta Mwabukusi, Dkt Slaa na Mpina

Tetesi: Lissu kufanya mapinduzi CHADEMA kuwavuta Mwabukusi, Dkt Slaa na Mpina

Mbowe akiachia chair chadema inakuwa viziri sana dakitari silaa wmwambukusi. Mdude msigwa lema chama kitapata uungwaji mkono ma wengi
 
Pafukapo moshi ujue kuna moto,

Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa Chadema yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti.

Kikao chao cha siri inasemakana ameona Mbowe ni kikwazo chama kukamata dola hata kama sio kukamata ila chama kuendeshwa kiharakati zaidi kuliko uongozi wake Mbowe, ambaye chama kinafanya siasa za uoga .

Na inasemekana wanamtuhumu Mh Mbowe kuwa chama kimepokea mabilioni ili kutimiza matakwa ya kuwaweka wale watu wasio na siasa kali za kiharakati, hivyo makamu mwenyekiti kama atafanikiwa kuchukua madaraka amepanga kumvuta mwabukusi kama makamu wake, na katibu ni Dkt. Slaa.

Sisi tulio nje tunasema wacha wapasuane pesa haijawahi muacha mtu salama!

Chadema na ife kabisa Act ichukue nafasi!
Lema alikuwa wapi wakati tukiyasema haya!
 
Hii ndiyo JF sasa.
Kongole sana mkuu kwa kuona mbali. Siyo haya machawa kutwa kujitoa ufahamu.
Erythrocyte ukweli huu Sasa.
 
Weka bango hapa kwenye kibanda chako:

"Mganga maarufu kutoka Sumbawanga. Njoo nikutabirie nyota yako". Hutawakosa punguani wa kuwaokota.
Muda ni mwalimu wa kweli. Unajiona ulivyopuñguani leo wee nyumbu?
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Bado tu mnatumiaga mbinu hii ya propaganda uchwara za miaka 47?

Huu uwendawazimu wenu wa kujaribu ku - baffle mgogoro ndani ya CHADEMA hujitokeza kila zinapokaribia chaguzi kuanzia 2005, 2010, 2015 na zaidi ilikuwa 2020...

kipara kipya unadhani una akili utaiweza kuicheza ngoma ya CHADEMA wewe na wenzako maana style ya propaganda ni ileile na watu ni walewale tangu miaka ileeeeeee na ilishashindikana!!
Nadhani Leo hii unàelewa maana ya kipara kipya .
 
Back
Top Bottom