Tetesi: Lissu kufanya mapinduzi CHADEMA kuwavuta Mwabukusi, Dkt Slaa na Mpina

Tetesi: Lissu kufanya mapinduzi CHADEMA kuwavuta Mwabukusi, Dkt Slaa na Mpina

Weka bango hapa kwenye kibanda chako:

"Mganga maarufu kutoka Sumbawanga. Njoo nikutabirie nyota yako". Hutawakosa punguani wa kuwaokota.
Kwa maelezo yale ya Lema jana, hii habari ni ukweli mtupu sema kwasababu Mbowe alishabeba akili zetu zote ndio maana tulikuwa tunaona mleta mada mwongo
 
Hii mada huu ndio wakati wake japo iliandikwa kimapinduzi lakini uchaguzi unaenda kufanyika na lissu anaelekea kushinda uenyekiti, kina slaa nao wanavutiwa na uongozi wa lissu, ni suala la muda kutimia
 
Halafu unakuta hao vuvuzela wa ccm wengine ni watumishi na wanalia lia na kikokoto na umasikini wao baada ya kustaafu.
Leo Samia kawakimbia Arusha lakini shida zao wakigeuka nyuma wanataka kina Heche, Lema, Lissu nk ndio waeasemee!
Ni kama wamelishwa limbwata na ccm
Mzee Chakaza umeadimika sana!
 
Wana CDM wamegoma kukigeuza chama chao kwa sera za jino kwa jino.wanasema kwamba CDM ni chama cha siasa na si kundi la wanaharakati.
 
Pafukapo moshi ujue kuna moto,

Za chini ya kapeti Makamu Mwenyekiti wa Chadema yupo, kwenye harakati za chini kwa chini kutaka kumpindua mwenyekiti na kukiongoza chama kama mwenyekiti.

Kikao chao cha siri inasemakana ameona Mbowe ni kikwazo chama kukamata dola hata kama sio kukamata ila chama kuendeshwa kiharakati zaidi kuliko uongozi wake Mbowe, ambaye chama kinafanya siasa za uoga .

Na inasemekana wanamtuhumu Mh Mbowe kuwa chama kimepokea mabilioni ili kutimiza matakwa ya kuwaweka wale watu wasio na siasa kali za kiharakati, hivyo makamu mwenyekiti kama atafanikiwa kuchukua madaraka amepanga kumvuta mwabukusi kama makamu wake, na katibu ni Dkt. Slaa.

Sisi tulio nje tunasema wacha wapasuane pesa haijawahi muacha mtu salama!

Chadema na ife kabisa Act ichukue nafasi!
Kweli wewe Kipara. Na iwe hivyo ili kuleta siasa ya ushindani
 
Back
Top Bottom