Tetesi: Lissu kufanya mapinduzi CHADEMA kuwavuta Mwabukusi, Dkt Slaa na Mpina

Weka bango hapa kwenye kibanda chako:

"Mganga maarufu kutoka Sumbawanga. Njoo nikutabirie nyota yako". Hutawakosa punguani wa kuwaokota.
Kwa maelezo yale ya Lema jana, hii habari ni ukweli mtupu sema kwasababu Mbowe alishabeba akili zetu zote ndio maana tulikuwa tunaona mleta mada mwongo
 
Hii mada huu ndio wakati wake japo iliandikwa kimapinduzi lakini uchaguzi unaenda kufanyika na lissu anaelekea kushinda uenyekiti, kina slaa nao wanavutiwa na uongozi wa lissu, ni suala la muda kutimia
 
Mzee Chakaza umeadimika sana!
 
Wana CDM wamegoma kukigeuza chama chao kwa sera za jino kwa jino.wanasema kwamba CDM ni chama cha siasa na si kundi la wanaharakati.
 
Kweli wewe Kipara. Na iwe hivyo ili kuleta siasa ya ushindani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…