OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
JiCCM katika kujifariji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwakweli ni ndoto za kimweri mtu kumchalange Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi ujao...Nilishawaambia CHADEMA kuwa wasipoteze muda kwenye nafasi ya Urais .maana nafasi hiyo ni maalumu kwa ajili ya Rais Samia ambaye anaungwa mkono na mamilioni ya watanzania ,ambao wanasubiri tu muda ufike ili wampigie Kura za ndio Rais Samia kwa kishindo.
kwakweli ni ndoto za kimweri mtu kumchalange Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi ujao...Nilishawaambia CHADEMA kuwa wasipoteze muda kwenye nafasi ya Urais .maana nafasi hiyo ni maalumu kwa ajili ya Rais Samia ambaye anaungwa mkono na mamilioni ya watanzania ,ambao wanasubiri tu muda ufike ili wampigie Kura za ndio Rais Samia kwa kishindo.
mwanasiasa makini, mwenye contents za maana kwa wananchi, na anaefanya kazi nzuri kwa wanainchi hana sababu ya kukosa raha ati kwasabb mtu mwingine maarufu ametangaza nia kumchalange kwenye uchaguzi ujao 🐒Mhe. Mtaturu hana RAHA akisikia Lissu anagombea ubunge.
Bila shaka Lissu ameona Asishindane na Jemedari Hodari Rais Samia aliyebarikiwa na kupewa kibali na Mungu Mwenyewe. Amekubalia yaishe tu ili aangalie upande Mwingine wa Ubunge kujaribu bahati yake.kwakweli ni ndoto za kimweri mtu kumchalange Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi ujao...
Yeyote atakae thubutu kumchalange Dr.Samia, ataambulia aibu na fedheha itakayomfanya asipende na achukie kabisa kugombea tena uongozi wa kisiasa nchini 🐒
huyu jamaa amsoma alama za nyakati, sasa anaangalia nafasi huko chini jimboni ..
ushauri, maoni na mtazamo wako ni huru...Huyo mama, umri wa kustaafu umewadia, kulea wajukuu ni uamuzi Bora sana Kwa sasa.
Kutoka kugombea urais hadi kugombea ubunge, kweli njaa mbayataharuki na matumbo joto kwa wanasiasa wabunge wa majimbo ya SINGIDA baada ya tetesi hizi kusambaa kama bush fire 🔥...
ameamua kubadili gia angani mapema, baada ya kutathimini kwa kina, kujiridhisha na kuthibitisha kwamba, mazingira ya chama chake si rafiki na hayampi matumaini, hamasa, wala sapoti ya dhati kuwania nafasi ya uongozi wa juu wa chama wala kipaumbele cha kuwania nafasi ya uongozi wa wa juu serikali, yaani Urais... mnyetishaji alidokeza....
lakini pia hali ya kisiasa nchini ilivyoelemea upande moja hasa wa chama Tawala na na kudhihirika bayana kwamba, anaetazamiwa kugombea nafasi ya Urasi kupitia chama Tawala, anauungwa mkono hata na vyama vya kisiasa vya upinzani na kwa hivyo ushindi kwake ni wa wazi hata kama tutasingizia kuibiwa, itakua ni vichekesho kumshinda yule mama....... mnyetishaji aliendelea kutiririka....
kwa kiasi kikubwa sana, hii imemkatisha tamaa na, imedhoofisha jitihada na harakati zake za kutaka kuleta na kuchochea mabadiliko nchini, kupitia nafasi ya juu ya uongozi wa nchi, na kwahivyo ameamua kukita kambi SINGIDA, baada ya kukosekana hamasa kwenye siasa za kitaifa, hasa kutoka upande wa upinzani ikiwemo chama chake cha Chadema ambacho kina viashiria vyote vya mgawanyiko miongoni mwao....
mpango sasa ni kutafuta Jimbo SINGIDA kwajili ya 2025, na ndio maana umeona karibu mwezi mzima tupo hapa. kama mwenyekiti Taifa anajua hili au hajui hilo nadhani siwezi kusema, wao ni viongozi inawezekana wanawasiliana mara kwa mara....
mnyetishaji alidokeza....
kwa hakika kiongozi huyo ni gineaus anae jua kusoma vizuri sana, upepo wa kisiasa, alama za nyakati na mazingira ya kufanya siasa za kijimbo au kitaifa na kwenda nayo sambamba, kulingana na hali halisi ya wakati ule....
tunasubiri tamko lake rasmi wakati wowote kuanzia sasa kuthibitisha uelekeo huu....
mwandishi na mwanasheria msomi moja humu JF, alishauri upinzani hasa chadema kujikita na kuconcentrate kwenye uchaguzi wa 2030 badala ya huu wa mwakani....
Je, huu ndio mwanzo wa ushauri huu kutekelezwa?
unapotosha comrade, hadharini tena mchana kweupe, sijui ni kwa makusudi, kwa kujua au kutokujua. But si ungwana, si sahihi na si sawa hata kidogo 🐒"Ni Bora hata tumpe promo Makonda kuliko Mama Kwa sasa!!
Ameshakiuka taratibu za kampeni na kanuni ndani ya chama,ameanza kugombea kabla ya wakati na rushwa ameanza kuzitoa Kwa kusambaza piki piki na bajaji zenye jina lake dhidi ya wagombea wengine!
Amekosea kama makada wetu marehem lowasa na membe!amekiuka taratibu za chama chetu !hatoshi kabisa !amevunja kanuni"!
Alisikika kada maarufu akitamka Kwa uchungu sana kuvunjwa Kwa kanuni!
Kwani !!?nitasema kweli Daima uongo kwangu mwiko!ndivyo kada alivyosema !!!unapotosha comrade, hadharini tena mchana kweupe, sijui ni kwa makusudi, kwa kujua au kutokujua. But si ungwana, si sahihi na si sawa hata kidogo 🐒
yote yanayofanyika hivi sasa, yanafanywa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na si vinginevyo, usijichanganye wala usichanganye mambo.....
huyo ni rais wa Tanzania anafanya unachokiona popote nchini...
Masuala ya chama yanafanyika kwa utaratibu wake nayo vile vile hufanyika kwa uwazi kabisa, na ikiwa kuna ambae haridhiki na mambo ya chama yanavyokwenda anaweza kulalamika kwenye specific organs za chama, na huko nako asipo ridhika, anao uhuru wa kujiunga na vyama vingine mathalani Chadema ambayo unatafuta mgombea Urais na wabunge maeneo mbalimbali nchini 🐒
hakuna haja ya kupotosha au kubabaika mitandaoni au kwenye vyombo vya habari. hiyo haina maana yoyote kabisa 🐒
ukiwa mwanafunzi katika siasa za vyama, utashangaa mno, hata watu kuomba kura kwa kupiga magoti, ama kugalagala kwenye vumbi na matope, na halafu akashinda uchaguzi kwa kishindo, wewe ukiwa unashangaa tuKuna watu wanaifuatilia CHADEMA kutwa hata kuwazidi wanachama wake......

unajaribu kurifer na kunidrag kwenye vitu na mifano ambayo haina logic wala impact kisiasa wala kiutendaji, kwenye chama wala serikali kwa namna yoyote ile...Kwani !!?nitasema kweli Daima uongo kwangu mwiko!ndivyo kada alivyosema !!!
Sio lazima ndani ya organ hata nje ya organ unasema TU,kwani Kikwete senior aliposena eti "labda mambo yaharibike sana"alimaanisha nini!!?neno Hilo linamaanisha Kuna plan B katika plan A!!

actually,JiCCM katika kujifariji

Shida ipoShida ipo wapi? Hata asipokuwa na cheo chochote bado ataendelea kuwa mwanasiasa aliye upande wa wananchi.