Tetesi: Lissu kugombea ubunge Singida 2025

kwakweli ni ndoto za kimweri mtu kumchalange Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi ujao...

Yeyote atakae thubutu kumchalange Dr.Samia, ataambulia aibu na fedheha itakayomfanya asipende na achukie kabisa kugombea tena uongozi wa kisiasa nchini πŸ’
 
kwakweli ni ndoto za kimweri mtu kumchalange Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye sanduku la kura kwenye uchaguzi ujao...

Yeyote atakae thubutu kumchalange Dr.Samia, ataambulia aibu na fedheha itakayomfanya asipende na achukie kabisa kugombea tena uongozi wa kisiasa nchini πŸ’

huyu jamaa amsoma alama za nyakati, sasa anaangalia nafasi huko chini jimboni ..
 
Mhe. Mtaturu hana RAHA akisikia Lissu anagombea ubunge.
mwanasiasa makini, mwenye contents za maana kwa wananchi, na anaefanya kazi nzuri kwa wanainchi hana sababu ya kukosa raha ati kwasabb mtu mwingine maarufu ametangaza nia kumchalange kwenye uchaguzi ujao πŸ’
 
Bila shaka Lissu ameona Asishindane na Jemedari Hodari Rais Samia aliyebarikiwa na kupewa kibali na Mungu Mwenyewe. Amekubalia yaishe tu ili aangalie upande Mwingine wa Ubunge kujaribu bahati yake.
 
Sasa umeandika nini kutuharibia bando letu tu fala ww
pole na samahani sana kamanda naelewa unayoyapitia πŸ’

hebu weka miundombinu yako hapa nikusababishie walau hako ka bando kalikoenda na launch kidogo πŸ’
 
Huyo mama, umri wa kustaafu umewadia, kulea wajukuu ni uamuzi Bora sana Kwa sasa.
ushauri, maoni na mtazamo wako ni huru...

Lakini hauna maana, umuhimu wala tija kwa mustakabali mwema wa Taifa letu πŸ’

sauti za waTanzania zinaendelea kuongoza nchi, chama na serikali πŸ’
 
Kutoka kugombea urais hadi kugombea ubunge, kweli njaa mbaya
 
unapotosha comrade, hadharini tena mchana kweupe, sijui ni kwa makusudi, kwa kujua au kutokujua. But si ungwana, si sahihi na si sawa hata kidogo πŸ’

yote yanayofanyika hivi sasa, yanafanywa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na si vinginevyo, usijichanganye wala usichanganye mambo.....

huyo ni rais wa Tanzania anafanya unachokiona popote nchini...

Masuala ya chama yanafanyika kwa utaratibu wake nayo vile vile hufanyika kwa uwazi kabisa, na ikiwa kuna ambae haridhiki na mambo ya chama yanavyokwenda anaweza kulalamika kwenye specific organs za chama, na huko nako asipo ridhika, anao uhuru wa kujiunga na vyama vingine mathalani Chadema ambayo unatafuta mgombea Urais na wabunge maeneo mbalimbali nchini πŸ’

hakuna haja ya kupotosha au kubabaika mitandaoni au kwenye vyombo vya habari. hiyo haina maana yoyote kabisa πŸ’
 
Kwani !!?nitasema kweli Daima uongo kwangu mwiko!ndivyo kada alivyosema !!!

Sio lazima ndani ya organ hata nje ya organ unasema TU,kwani Kikwete senior aliposena eti "labda mambo yaharibike sana"alimaanisha nini!!?neno Hilo linamaanisha Kuna plan B katika plan A!!
 
Kuna watu wanaifuatilia CHADEMA kutwa hata kuwazidi wanachama wake......
ukiwa mwanafunzi katika siasa za vyama, utashangaa mno, hata watu kuomba kura kwa kupiga magoti, ama kugalagala kwenye vumbi na matope, na halafu akashinda uchaguzi kwa kishindo, wewe ukiwa unashangaa tu
 
unajaribu kurifer na kunidrag kwenye vitu na mifano ambayo haina logic wala impact kisiasa wala kiutendaji, kwenye chama wala serikali kwa namna yoyote ile...

huenda tu, kuna vitu vimekuganda moyoni kulingana na mfano uliotoa na hujapata namna nzuri yakuweza kulitoa...

hata hivyo,
mwana chama wa ccm, yeyote yule mwenye nia, mawazo au mtazamo wa kujenga hapayukipayuki tu mtaani bila utaratibu kama wale wa chama kinachogawanyoka hivi sasa...

na kama yupo,
hupuuzwa tu na matokeo yake hujieungua mwenyewe kama ambavyo wachache wanavyopuuzwa hivi sasa na baadae utashuhudia wakijiengua na kujiunga na wenye tabia za kubwekabweka bila utaratibu
 
JiCCM katika kujifariji
actually,
CCM na Serikali yake sikivu ndiyo faraja na tumaini pekee la wananchi na waTanzania, waliohangaishwa na kudanganywa na wapinzani wapotoshaji na waongo sana kwa muda mrefu sana,

na matumaini makubwa ya waTanzania walio wengi, kwa uchaguzi mkuu ujao ni kwa mama comrade, Dr.Samia Suluhu Hassan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…