Tetesi: Lissu kugombea ubunge Singida 2025

Acha kuweweseka!
 
Hata JPM alipewa za Ndiyo mwaka 2020. Umesahau kuweka namba ya simu yako
 
Acha kuweweseka!
kisiasa ukiguswa mahali flani, hupanic , unatulia kidogo na kujipanga na comeback ya kivingine...

hivi ndivyo unavyoweza kusema, muungwana ameona na kuamua kuchukua hatua...

na kisiasa its good, kuliko kushupaza shingo kwenye mfupa ambao hauwezekaniki na huna meno hata ya kutafuna hata nyama tyui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…