Tetesi: Lissu kuhama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa

Ndugu zangu Watanzania,

Habari ni kuwa ndugu Lissu anatarajia kuondoka na kuihama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa.hii ni baada ya
JF inapaswa kukupa TUZO ya binadamu mjinga ndani ya JF kwa mwaka 2024.
Unadhani nani anaweza kukushinda wewe ndani ya jukwaa hili?
Rudi nyumbani kwa mkeo mwambie ukipiga kifua kwa shangwe kuwa umebeba TUZO la ujinga bora 2024.
TUMEKUCHOKA MAANA THIS IS HOME OF GREAT THINKER!
It's not of f..ls elewa hivyo!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
ngoja kwanza niweke akiba ya maneno.maana moyo wa mtu ni msitu siasa za 🇹🇿 akunaga matata.

uzi unatiririka kwa speed fupifupi ila kwa umbali mrefu😀
 
Hasira mpelekee Lissu aliyeamua kuihama CHADEMA na kuukataa unyumbu na ukasuku.
 
Huyu ni mama mjane alifiwa na mume mwaka juzi.
 
Hadithi tamu sana ila mdomo maneno yanaumba, Kwa hyo utakua umecheza na saikoloji tu kuwa Ipo siku lazima LISU AONDOKE CHADEMA
 
LGBTQ at work
 
VIPI MKUU ANAHAMIA YANGA?
 
Wewe unayeokoteza umbea nakuufanya habari ndiye mwenye maradhi ya akili. Nakushauri utafute baba yako mzazi halisi atakusaidia hii hali yako. Kukosa malezi ya baba ndiyo chanzo cha matatizo yako.
 
Wewe unayeokoteza umbea nakuufanya habari ndiye mwenye maradhi ya akili. Nakushauri utafute baba yako mzazi halisi atakusaidia hii hali yako. Kukosa malezi ya baba ndiyo chanzo cha matatizo yako.
Utapona tu na wala usijikatie tamaa hata kidogo.wapo vichaa wengi sana wamepona.
 
Masaa kadhaa yamepita na minong'ono ya kwamba Mzee Laigwanaan Tundu Antipas Lissu ana kihama chama cha "Mabilionea" cha CHADEMA.

Wakati tetesi hiyo ikipamba moto, sisi...

Wazalendo wa Kweli, tunamshauri Kiongozi huyu afikirie Umoja Party.

Maoni hayapigwi rungu.
 
Tetesi hizi kama ni kweli na ukizingatia yameshika moto mithili ya moto wa nyika, basi pia ni Wakati muafaka wa kutoa Ushauri kwa Kiongozi huyu kabla hajaangamizwa na "Mabilionea" wanaoiteka CHADEMA ahame na Kujiunga na Umoja Party.

Kulingana na taarifa za hivi karibuni kutoka kwa Msajili wa Vyama vya Siasa,ni kwamba Umoja Party imewasilisha maombi ya usajili wa muda na mchakato bado unaendelea.

Umoja Party inaongozwa na Mwanzilishi wa Chama hicho cha Umoja Party, Bw. Seif Maalim

Pia soma:

Tetesi: Lissu kuhama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa

Andiko refu halafu ni upuuzi mtupu....Lissu ni mtu Yuko wazi hayo ataongea mwenyewe tena live. Haya maneno yako ungemchukua mama yako mzazi na huyo mkeo mkakaa jikoni muweze kusimuliana.
 
Utapona tu na wala usijikatie tamaa hata kidogo.wapo vichaa wengi sana wamepona.
Frustration ya kukosa kuwa na biological father inakutesa sana. Huu muda unaopoteza kuandika maujinga yako humu ungeutumia kumtafuta baba yako halisi,maana kuwa mtoto wa haramu ni doa kubwa sana maishani.
 
Utapona tu huo ukichaa wako maana naona unakutesa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…