Tetesi: Lissu kuhama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa



Lucas Hebel - Kichaa msafi.
 
Lisuu anahama CHADEMA kwa kutokubaliana na misimamo ya Mbowe na aina ya siasa zake katika kuendesha chama.
amesense mbowe anapendelea dr slaa ndie awe mgombea uraisi chadema...

kwenye maandamano ambayo yalikua kama joging kule Mbeya, Lisu alinyimwa nafasi ya kuzungumza na mwenyekiti badala yake akapewa dr.laa na mkutano ukafungwa😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…