Tetesi: Lissu kuhama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa

CCM Haiwezi kushindwa katika sanduku la kura hata vyama vyote vya upinzani vikiungana na kuwa chama kimoja.
hilo liko bayana kabisa,
halafu ati watu mahali wanajua kabisa, hawana sera, hawana mipango wala hoja za maana na wanashupaza shingo kwa matumaini hewa kabisa eti wataishinda ccm 😀 ....
 
mtajaribu kuwafarakanisha lakini mwisho mtafarakana wenyewe, ccm inaelekea kufa kwa sasa
 
Hivi Lissu na usomi wake anakubalije kuwa chini ya mamlaka ya Mzee Mbowe?
kitaifa yupo chini ya patriotic mbowe na kimataifa yupo chini ya Adv.Ribert Amsterdam as puppet...

kashukwa akili, kafunngwa miguu, mikono, na mdomo atamuongoza nani mbwabwajaji kama yule...
 
Mimi ni CCM kindaki ndaki. Huko ndiko nitakushika mkono ephen na kukuvuta ili kipaji chako kikubwa na akili yako kubwa itumike kwa Taifa letu. Si unajuwa ni hasara sana kuacha akili kubwa aina yako zikabaki bila kutumiwa.
Mtu mwenye akili awe CCM?
CCM hiihii ambayo ilikuwa ya Magufuli tena akitamka "CCM ya Magufuli" ambayo Bashiru wa kuja alimzidi mamlaka Samuel Malechela?
 
Umekua msemaji wa lisu tena.
We mama acha kujigawagawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…