Tetesi: Lissu kuhama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa

Tetesi: Lissu kuhama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa

Siyo mamluki bali anafahamu ya kuwa siasa za nguvu na mabavu ni ngumu kufanikiwa kwa Taifa letu
Kenyatta almwambia Nyerere anaongoza maiti, ni kweli. Nchi Haina umeme wa Dola watx wako bize na goli la axizi ki,

tutamshangaa lisu kama ana pigania serious watz wapumbavu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Habari ni kuwa ndugu Lissu anatarajia kuondoka na kuihama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa.hii ni baada ya
Lissu usiwe serious na siasa za wabogo . Wabongo wenyewe hawako serious. Mnowe anazijua hizi siasa msikilize

Imagine Sasa hivi hatuna umeme nchi nzima kwenye magroup yetu ya wasap tunajadili goli la axizi ki
 
acha upotoshaji,
umeme wa sh.elfu2 umeisha chumbani kwako unasema nchi nzima hakuna umeme?🐒

kwamba kwa uongo na upotoshaji huo kuna mtu anaweza kukuskiza kweli 🐒
 
Mbowe ni mamluki wa Ccm
Mkuu siwezi kukupinga hata kidogo.

Hawa wenyeviti wafalme, yeye, Lipumba pamoja na marehemu Lyatonga baada ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi 1995 nilishapoteza imani nao.

Wapo upinzani kwa ajili ya kudhoofisha mawazo ya mageuzi na kutengeneza vijiwe vya kugawania ruzuku, hawana jingine wala sera mpya.
 
Bila chadema,tungekua tumekufa.kweli kabisa,mngeuza Hadi ikulu
kuwa mngwana,
sasa chadema atamzuia nani asifanye nini wap? 🐒

anachoweza chadema ni kuzira na kususa, hiyo anaeweza nakukubali.

kugoma alijaribu kwenye mtandao fulani wa simu wanachama wakapuuza wito wa chairman 🐒
 
Hizi propaganda za kuigawa CHADEMA ili kuisambaratisha mbona zilishindwa hata wakati wa Magufuri?
 
Hakuna shida, ila sio lichama fisadi la CCM ukihama watahakikisha wanakumaliza Kila kitu na kukufanya adui, kwenye siasa ni kawaida sana na hakuna tatizo lolote maana anayeamua mwishoni ni kura za wananchi, ila sio wezi wa CCM wasiojua uchaguzi maana yake nini, ni hii habari kutoka Kwa chawa mwenye njaa kuliko ombaomba ni uzushi tuu
 
Ni ukweli na siyo uzushi.
 
Ila una moyo!!

Punguani huwa hawana haya, ndiyo maana huwa wanaweza hata kutembea uchi hadharani. Kwa maandiko yake huyu Mwashambwa, unamwona ni mzima wa akili huyu?
 
Jiambie mwenyewe moyoni mwako mara tatu, "MIMI NI MWEHU NINAYEFURAHIA UPUNGUANI WANGU"
CHADEMA mtabakia manyumbu na mahayawani msiojitambua.mtaburuzwa kama makondoo na kuswagwa kama ng'ombe.mtaendelea kuimbishwa mapambio kama makasuku.
 
Back
Top Bottom