Na inasikitisha kuona jinsi Msigwa alivyotembezwa katikati ya high table, wakati wa kutambulishwa kwenye chama mithili miss TanzaniaLissu atakuwa kaumia sana, ila Mchungaji naye katumia hasira baada ya kuukosa uenyekiti kanda ya Nyasa. Nina Imani kabisa, atarudi tu tena Chadema... Time will tell...
Akina petro ni wasaliti tangu enzi za kwenye bibliaLissu atakuwa kaumia sana, ila Mchungaji naye katumia hasira baada ya kuukosa uenyekiti kanda ya Nyasa. Nina Imani kabisa, atarudi tu tena Chadema... Time will tell...
Huyo hapo analia kujutia upuuzi aliofanya. Kalipwa mamia ya mamilioni lakini hana amani ya moyoTo me msigwa ndo kaishia hapo
Halii bali anaonyesha hasiraHuyo hapo analia kujutia upuuzi aliofanya. Kalipwa mamia ya mamilioni lakini hana amani ya moyo
Watu wanasema pesa sabuni ya roho lakini pesa ya Mama Abdul kwa Msigwa imekuwa shubiri hana amani kabisa, ndugu zake wamchunge sana asije akajinyonga kama alivyofanya Yuda baada ya kupokea hela za malipo ya kumsaliti Bwana Yesu.Huyo hapo analia kujutia upuuzi aliofanya. Kalipwa mamia ya mamilioni lakini hana amani ya moyo
Andunje Msigwa ndiye kawa hivi kama anakula limao?Huyo hapo analia kujutia upuuzi aliofanya. Kalipwa mamia ya mamilioni lakini hana amani ya moyo
Hayo ni mawazo yako je fomu moja ya Rais CCM haiwaumi wengine. Demokrasia ni ngumu sanaLissu kaumia sana na Lema alilia sana kuhusu Msigwa kuhamia CCM, ila najua kabisa wazi. Lissu au Lema wanajua kabisa wana uchungu mkubwa ndani ya Chadema hakuna demokrasia ya kweli hasa katika kumpata Mwenyekiti wao au hata wenyeviti wa kanda, ni rushwa sana, ubabe sana na ukitaka kugombea uenyekiti Taifa wa Chadema basi wewe utakuwa msaliti mkubwa sana..!! Ni sbb tu hawana pa kwenda wanakufia na tai shingoni huko huko Chadema..!!
Atakaa sawa tu na yeye asiishi maisha ya maigizoUsome mwenyewe
---
Siku chache tangu Mchungaji Peter Msigwa kutimkia Chama cha Mapinduzi (CCM), Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu ameeleza kusikitishwa na uamuzi huo akisema: “Kwa kujiunga na maadui zangu wa kisiasa, sasa nitalazimika kukutana naye kama hasimu wake wa kisiasa.”
Lissu amesema hayo leo Jumanne Julai 2, 2024 ikiwa ni siku nne zimepita tangu Mchungaji Msigwa, aliyewahi kuwa mbunge wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ya Nyasa kutimkia CCM.
Msigwa alitambulishwa kuwa mwanachama mpya wa CCM Juni 30, 2024 mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho, katika kikao kilichofanyika Ikulu, Dar es Salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan.
MWANANCHI
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Akili huna wewe umejawa matusi tu, uwe @konyola unatumia akili kidogo.
Sasa ngoja nikuelimishe kidogo wewe unayeishi kwa kufuata mkumbo wa wanasiasa.
Kipaumbele cha wananchi sio katiba kama ilivyo kwa wanasiasa kwa sasa upo hapo?
100%✓Wanasaiasa wanadai katiba kwa ajili ya uchaguzi na ndio maana Rais Kikwete alipowapa nafasi ya kaunda katiba mpya wanasiasa walivurugana huko bungeni hasa ccm na chadema wote walionekana kulinda maslahi ya vyama vyao kuliko kuweka mambo muhimu ya wananchi.
Yaani☝🏿huo ndio ukweli. Wanaumia chawa wa CHADEMA😂CCM waliiangalia ni mambo gani yawepo kwenye katiba yatakayowafanya waendelee kutawala huku chadema wakitaka katiba ambayo itaweza kuwafanya wao waingie madarakani kiurahisi wanasahau ya kuwa watakaowafanya waingie madarakani ni wananchi na wala sio katiba mpya.
100%✓Katiba mpya haiwezi ondoa njaa wala tatizo la ajira, au kuleta maendelo kama mnavyoaminishwa, hayo mambo yanaletwa na kiongozi mwenye uzalendo, maono na utashi.
HakikaKenya waliunda katiba mpya kule kwao lakini haijaweza kuondoa njaa na tatizo la ajira kwa vijana na unaona kinachomtokea Ruto huko.
Inatakiwa Watanzania wote wasome hapo Juu☝🏿Mnachotaka nyie ni katiba atakayiruhusu maandamano na kwenda mahakamani mkishindwa uchaguzi na huo ndio ukweli, mpo kwa ajili ya kutafuta vyeo, madaraka na kujaza wabunge wengi huko bungeni na wala sio kwa maslahi yetu sisi wananchi
Walimuua. Uchunguzi utafanyika. Na ni lazima ufanyike.hili tuliligundua pale mlipo mpinga JPM kwa kila jambo hata lenye maslahi kwa nchi.
Wananchi washagundua hawa CHADEMA ni vInara wa siasa za majitaka tu. Hawana seraHivi sasa watu wamepoteza imani na nyie ndio maana mama kawapa nafasi ya kuandama kama mlivyokuwa mnadai muda wote mmekosa waandamanaji mmeacha.
Atakaa sawa tu na yeye ipo siku mtamsikia na yeye kahamia ccmUsome mwenyewe
---
Siku chache tangu Mchungaji Peter Msigwa kutimkia Chama cha Mapinduzi (CCM), Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu ameeleza kusikitishwa na uamuzi huo akisema: “Kwa kujiunga na maadui zangu wa kisiasa, sasa nitalazimika kukutana naye kama hasimu wake wa kisiasa.”
Lissu amesema hayo leo Jumanne Julai 2, 2024 ikiwa ni siku nne zimepita tangu Mchungaji Msigwa, aliyewahi kuwa mbunge wa Iringa Mjini na Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ya Nyasa kutimkia CCM.
Msigwa alitambulishwa kuwa mwanachama mpya wa CCM Juni 30, 2024 mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho, katika kikao kilichofanyika Ikulu, Dar es Salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan.
MWANANCHI
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
Kofia ya uenyekiti itenganishwe na urais utapata majibu ya dhati.
Lissu inaonekana hana washauri wazuri kisiasa na qnatumia sana hisia kwenye siasa kuliko akili.Duh!
Tundu Lissu, mbona unajishusha chini kiasi hicho?
Huyo naye ni mtu wa kupotezea muda tena kumzungumzia; ili iweje? Kaondoka na nini CHADEMA na sasa kakiwasilisha CCM kinachoweza kukusumbua akili hadi umzungumzie huyo?
Sawa. Kama inabidi, ni maneno mawili matatu na kumaliza kazi basi; na kuendelea na mengine ya muhimu zaidi ndani ya chama.
Na unajua, hakuna lililo muhimu zaidi kwa sasa kama kuiondoa CCM madarakani. Usikubali kupoteza lengo hili kwa hadaa za kushirikishwa ndani ya serikali ya 'Chura Kiziwi' kwa njia yoyote ile. Ni bora kabisa hata kubaki nje ya hiyo serikali , kuliko kushirikiana na shetani.
Chunga namba, unadhibitiwa sasa.
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavuCHADEMA wamebaki manundu tu.
Picha:Toka kenya
Lissu asipozingatia huu ushauri wako atakuja kujuta.Lisu mwenyewe kama anakili kweli..anatakiwa atoke kwenye hiyo kampuni ya wachxga iliyovaa koti la chama cha kisiasa,bora aende ACT wazalendo..Lissu anatumika pale kama punda mbeba mizigo tu..ila bado hajitambui.
Ni kweli inapaswa kuwa hivyo ila kiuhalisia haipo hivyo kwenye siasa zetuTofauti za kiitikadi siyo uadui, ni mitazamo tofauti ya kufikia malengo.
Mbona nyie hamtaki kutenganisha kofia ya mwenyekiti na mmiliki wa chama?Kofia ya uenyekiti itenganishwe na urais utapata majibu ya dhati.