Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema hana muda wa kupoteza na kukaa na Mzee Wassira ni kupoteza muda. Amesema hayo wakati akihojiwa katika Kipindi ya Dakika 45 cha ITV baada ya kuulizwa swali kuwa anaonekana namkwepa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wassira aliyesema anamuhitaji Lissu kwenye Mdahalo
Lissu amesema muda alionao na kazi anayotakiwa kufanya, muda ni mfupi sana. Hivyo kama kuna jambo la kujadili basi watajadili na Rais Samia sio Wassira.
Amesema "Tumezungumza na Mzee Kinana mwaka mzima, na Rais Samia alisema tutakachokubaliana na Mzee Kinana na timu yake watakitekeleza, tukajadiliana mwaka mzima kisha wakasema hawataki baada ya kutupoteze muda mwaka mzima. Sasa nazungumza na Stephen Wassira nini? Yeye sio mtu wa kufanya maamuzi, haya maamuzi hayafanywi na CCM wala, yanafanywa na Samia na Serikali yake."
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema hana muda wa kupoteza na kukaa na Mzee Wassira ni kupoteza muda. Amesema hayo wakati akihojiwa katika Kipindi ya Dakika 45 ya ITV baada ya kuulizwa suali kuwa anaonekana namkwepa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Stephen Wassira aliyesema anamuhitaji Lissu kwenye Mdahalo
Lissu amesema muda alionao na kazi anayotakiwa kufanya, muda ni mfupi sana. Hivyo kama kuna jambo la kujadili basi watajadili na Rais Samia

"Tumezungumza na Mzee Kinana mwaka mzima, na Rais Samia alisema tutakachokubaliana na Mzee Kinana na timu yake watakitekeleza, tukajadiliana mwaka mzima kisha wakasema hawataki baada ya kutupoteze muda mwaka mzima. Sasa nazungumza na Stephen Wassira nini?
Wakuu,
Akijibu swali la kwanini hataki kushiriki wito wa Mdahalo kati yake na Wasira katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa katika kituo cha ITV leo tarehe 17/02/2025 Tundu Lisuu alisema nanukuu" Nikae na Wasira nijadiliane nae nini,?ni kupoteza muda tu,nina mambo mengi sana mbele yangu na muda hautoshi,kwahio kukaa na Wasira ni kupoteza muda tu,yeye hana maamuzi yoyote,Wa kujadiliana nae ni Samia.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema hana muda wa kupoteza na kukaa na Mzee Wassira ni kupoteza muda. Amesema hayo wakati akihojiwa katika Kipindi ya Dakika 45 cha ITV baada ya kuulizwa swali kuwa anaonekana namkwepa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wassira aliyesema anamuhitaji Lissu kwenye Mdahalo
Lissu amesema muda alionao na kazi anayotakiwa kufanya, muda ni mfupi sana. Hivyo kama kuna jambo la kujadili basi watajadili na Rais Samia sio Wassira.
Amesema "Tumezungumza na Mzee Kinana mwaka mzima, na Rais Samia alisema tutakachokubaliana na Mzee Kinana na timu yake watakitekeleza, tukajadiliana mwaka mzima kisha wakasema hawataki baada ya kutupoteze muda mwaka mzima. Sasa nazungumza na Stephen Wassira nini? Yeye sio mtu wa kufanya maamuzi, haya maamuzi hayafanywi na CCM wala, yanafanywa na Samia na Serikali yake."
Huyu Lisu anataka asali tu! Anajua Mzee Wasira hana asali ya kumrambisha kwahiyo anamkwepa na kutaka azungumze na mheshimiwa rais ili na yeye apate nafasi ya kulamba asali kama anavyoamini kuwa Mbowe alilamba asali ikulu kupitia Abdul.
Yaonekana Lisu anavyoamini ni kwamba Mbowe alimnyima mgao aliopata ikulu au alimpa kiasi kidogo ambacho aliamua kukikataa kwahiyo akafanya kila linalowezekana ili na yeye awe mwenyekiti apate nafasi ya kulamba asali Moja kwa moja toka ikulu!.
Na akinyimwa hiyo asali ndiyo anasema ataamrisha watu walale barabarani ana amini nchi hii bado kuna nyumbu wa kiamrishwa amri za kipuuzi na wao wakazitekeleza!.