Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Wasira ana hoja zipi?Hamna uwezo wa kujenga hoja mbele ya Mheshimiwa Stephen Wasira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasira ana hoja zipi?Hamna uwezo wa kujenga hoja mbele ya Mheshimiwa Stephen Wasira
Uelewa wako ni finyu sana.Huyu Lisu anataka asali tu! Anajua Mzee Wasira hana asali ya kumrambisha kwahiyo anamkwepa na kutaka azungumze na mheshimiwa rais ili na yeye apate nafasi ya kulamba asali kama anavyoamini kuwa Mbowe alilamba asali ikulu kupitia Abdul.
Yaonekana Lisu anavyoamini ni kwamba Mbowe alimnyima mgao aliopata ikulu au alimpa kiasi kidogo ambacho aliamua kukikataa kwahiyo akafanya kila linalowezekana ili na yeye awe mwenyekiti apate nafasi ya kulamba asali Moja kwa moja toka ikulu!.
Na akinyimwa hiyo asali ndiyo anasema ataamrisha watu walale barabarani ana amini nchi hii bado kuna nyumbu wa kiamrishwa amri za kipuuzi na wao wakazitekeleza!.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema hana muda wa kupoteza na kukaa na Mzee Wassira ni kupoteza muda. Amesema hayo wakati akihojiwa katika Kipindi ya Dakika 45 cha ITV baada ya kuulizwa swali kuwa anaonekana namkwepa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wassira aliyesema anamuhitaji Lissu kwenye Mdahalo
Lissu amesema muda alionao na kazi anayotakiwa kufanya, muda ni mfupi sana. Hivyo kama kuna jambo la kujadili basi watajadili na Rais Samia sio Wassira.
Amesema "Tumezungumza na Mzee Kinana mwaka mzima, na Rais Samia alisema tutakachokubaliana na Mzee Kinana na timu yake watakitekeleza, tukajadiliana mwaka mzima kisha wakasema hawataki baada ya kutupoteze muda mwaka mzima. Sasa nazungumza na Stephen Wassira nini? Yeye sio mtu wa kufanya maamuzi, haya maamuzi hayafanywi na CCM wala, yanafanywa na Samia na Serikali yake."
Amemalizia "Wassira atatupotezea muda tu!"
Ivi Luca wewe unaweza kupambana kwa hoja na lissu kweli?Hamna uwezo wa kujenga hoja mbele ya Mheshimiwa Stephen Wasira
Wewe mwenzetu kutetea madudu ya CCM ndo ajira yako. Kwa hiyo mtu akiona post zako akuelewe tuu.jamaa mtafuta kura anakimbia fursa wazi wazi kabisa ya mdahalo, pamoja na mdomo na makelele yake yote kumbe mzee waziri ndio kuboko yake, dah!!
naona anawakilisha vijana suruali vizuri sana dhidi ya wazee wa mujini 🐒
Yuko vizuri upstairsNi raha sana kumsikiliza Lissu. Huyu jamaa amenyooka hadi unafurahi kumuangalia na akiongea hutamani hata amalize.
Wee ngoja akitoka ikulu na habari zaUelewa wako ni finyu sana.
Akili matope hizi.Huyu Lisu anataka asali tu! Anajua Mzee Wasira hana asali ya kumrambisha kwahiyo anamkwepa na kutaka azungumze na mheshimiwa rais ili na yeye apate nafasi ya kulamba asali kama anavyoamini kuwa Mbowe alilamba asali ikulu kupitia Abdul.
Yaonekana Lisu anavyoamini ni kwamba Mbowe alimnyima mgao aliopata ikulu au alimpa kiasi kidogo ambacho aliamua kukikataa kwahiyo akafanya kila linalowezekana ili na yeye awe mwenyekiti apate nafasi ya kulamba asali Moja kwa moja toka ikulu!.
Na akinyimwa hiyo asali ndiyo anasema ataamrisha watu walale barabarani ana amini nchi hii bado kuna nyumbu wa kiamrishwa amri za kipuuzi na wao wakazitekeleza!.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema hana muda wa kupoteza na kukaa na Mzee Wassira ni kupoteza muda. Amesema hayo wakati akihojiwa katika Kipindi ya Dakika 45 cha ITV baada ya kuulizwa swali kuwa anaonekana namkwepa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wassira aliyesema anamuhitaji Lissu kwenye Mdahalo
Lissu amesema muda alionao na kazi anayotakiwa kufanya, muda ni mfupi sana. Hivyo kama kuna jambo la kujadili basi watajadili na Rais Samia sio Wassira.
Amesema "Tumezungumza na Mzee Kinana mwaka mzima, na Rais Samia alisema tutakachokubaliana na Mzee Kinana na timu yake watakitekeleza, tukajadiliana mwaka mzima kisha wakasema hawataki baada ya kutupoteze muda mwaka mzima. Sasa nazungumza na Stephen Wassira nini? Yeye sio mtu wa kufanya maamuzi, haya maamuzi hayafanywi na CCM wala, yanafanywa na Samia na Serikali yake."
Amemalizia "Wassira atatupotezea muda tu!"
Hakika ni majibu yalonyooka vyema,ambao hawajaelewa waachwe hivyo hivyo.Wakuu,
Akijibu swali la kwanini hataki kushiriki wito wa Mdahalo kati yake na Wasira katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa katika kituo cha ITV leo tarehe 17/02/2025 Tundu Lisuu alisema nanukuu" Nikae na Wasira nijadiliane nae nini,?ni kupoteza muda tu,nina mambo mengi sana mbele yangu na muda hautoshi,kwahio kukaa na Wasira ni kupoteza muda tu,yeye hana maamuzi yoyote,Wa kujadiliana nae ni Samia.
Majibu ndio hayo.
Samia kutaka mdahalo na TAL si rahisi.Lissu hawezi kufanya mdahalo na machawa. Kama Samia anataka Mdahalo na Lissu hapo tungemuelewa. Sio huyu mzee ambaye hajielewi. Kuna wazee wenzake kama Jereali Ulimwengu na Warioba kama anatafuta mjadala wapo sio Lissu. Lissu ni level ya Raisi pekee kwa sasa
Wassira yeye aongee na wastaafu, hakuna mtu serious ataenda kujadili na mzee wa kizazi analogia kwenye ulimwengu digital.Hamna uwezo wa kujenga hoja mbele ya Mheshimiwa Stephen Wasira
Tulidanganywa mbowe akitoka chama kitakufa, eti mbowe tu ndiye hawezi kununuliwa.Huyu mwamba tumechelewa sana kumpa majukumu
Tlalalalah You heard?jamaa mtafuta kura anakimbia fursa wazi wazi kabisa ya mdahalo, pamoja na mdomo na makelele yake yote kumbe mzee waziri ndio kuboko yake, dah!!
naona anawakilisha vijana suruali vizuri sana dhidi ya wazee wa mujini 🐒
Acha ujuaji na kujipa muhimu kwa wanaume, simba hali mizoga! Hana impact mzee wa fursa atalala tu hoja gani mpya kaongea tangu kapewa ułaji wa kumalizia maisha yake? Anasema yaleyale ya kuchimba mashimo ya vyoo na barabara tunaysikia tangu ninenteen kweusi hd tumezeeka tushagachokaHamna uwezo wa kujenga hoja mbele ya Mheshimiwa Stephen Wasira
Mkuu, naona umepotosha kidogo. Hicho kipindi, nimekisikiliza mwanzo mwisho! Lissu, kasema kukutana/kujadiliana na Mzee Wassira ni kupoteza muda, kwani hana maamuzi yoyote. Muamuzi ni Rais Samia na Serikali yake. Akatoa mfano kuwa, walikutana na Kinana kwa mwaka mzima, kuna mambo walikubaliana, lakini walipofikisha kwa Rais Samia, akayatupilia mbali. Kwa hiyo, wakawa wamepoteza muda bure, ambao kwa sasa hataki kuupoteza! Hakumaanisha kuwa Mzee Wassira hana hoja ya kuweza kujadiliana naye!Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema hana muda wa kupoteza na kukaa na Mzee Wassira ni kupoteza muda. Amesema hayo wakati akihojiwa katika Kipindi ya Dakika 45 cha ITV baada ya kuulizwa swali kuwa anaonekana namkwepa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wassira aliyesema anamuhitaji Lissu kwenye Mdahalo
Lissu amesema muda alionao na kazi anayotakiwa kufanya, muda ni mfupi sana. Hivyo kama kuna jambo la kujadili basi watajadili na Rais Samia sio Wassira.
Amesema "Tumezungumza na Mzee Kinana mwaka mzima, na Rais Samia alisema tutakachokubaliana na Mzee Kinana na timu yake watakitekeleza, tukajadiliana mwaka mzima kisha wakasema hawataki baada ya kutupoteze muda mwaka mzima. Sasa nazungumza na Stephen Wassira nini? Yeye sio mtu wa kufanya maamuzi, haya maamuzi hayafanywi na CCM wala, yanafanywa na Samia na Serikali yake."
Amemalizia "Wassira
Kule kwetu umatumbini ni fedheha kubwa mtoto wa kiume kutoa comment kama hii. Wanafamilia wanakutenga kabisaaaNi raha sana kumsikiliza Lissu. Huyu jamaa amenyooka hadi unafurahi kumuangalia na akiongea hutamani hata amalize.