Pre GE2025 Lissu: Kukaa na Wassira ni kupoteza muda, kama kuna la kujadili tutajadili na Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema hana muda wa kupoteza na kukaa na Mzee Wassira ni kupoteza muda. Amesema hayo wakati akihojiwa katika Kipindi ya Dakika 45 cha ITV baada ya kuulizwa swali kuwa anaonekana namkwepa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wassira aliyesema anamuhitaji Lissu kwenye Mdahalo

Lissu amesema muda alionao na kazi anayotakiwa kufanya, muda ni mfupi sana. Hivyo kama kuna jambo la kujadili basi watajadili na Rais Samia sio Wassira.

Amesema "Tumezungumza na Mzee Kinana mwaka mzima, na Rais Samia alisema tutakachokubaliana na Mzee Kinana na timu yake watakitekeleza, tukajadiliana mwaka mzima kisha wakasema hawataki baada ya kutupoteze muda mwaka mzima. Sasa nazungumza na Stephen Wassira nini? Yeye sio mtu wa kufanya maamuzi, haya maamuzi hayafanywi na CCM wala, yanafanywa na Samia na Serikali yake."

Amemalizia "Wassira atatupotezea muda tu!"
Maana yake: Lisu haongei na mbwa ila anaongea na mwenye mbwa. Credit: Manji
 
Na bahati mbaya sana Rais Samia Hana muda wa kukutana nae
 
Angeshukuru ht kupata hiyo nafasi. Aache egoism na utoto.
 
Mia.....naunga mkono hoja hilo propaganda tu atakupozea muda wako hapo yeye anasogeza muda tu.....hana cha kupotezaaa
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema hana muda wa kupoteza na kukaa na Mzee Wassira ni kupoteza muda. Amesema hayo wakati akihojiwa katika Kipindi ya Dakika 45 cha ITV baada ya kuulizwa swali kuwa anaonekana namkwepa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wassira aliyesema anamuhitaji Lissu kwenye Mdahalo

Lissu amesema muda alionao na kazi anayotakiwa kufanya, muda ni mfupi sana. Hivyo kama kuna jambo la kujadili basi watajadili na Rais Samia sio Wassira.

Amesema "Tumezungumza na Mzee Kinana mwaka mzima, na Rais Samia alisema tutakachokubaliana na Mzee Kinana na timu yake watakitekeleza, tukajadiliana mwaka mzima kisha wakasema hawataki baada ya kutupoteze muda mwaka mzima. Sasa nazungumza na Stephen Wassira nini? Yeye sio mtu wa kufanya maamuzi, haya maamuzi hayafanywi na CCM wala, yanafanywa na Samia na Serikali yake."

Amemalizia "Wassira atatupotezea muda tu!"
Sawa kabisa
 
Back
Top Bottom