Pre GE2025 Lissu: Kukaa na Wassira ni kupoteza muda, kama kuna la kujadili tutajadili na Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uelewa wako ni finyu sana.
 

Attachments

  • Gjr0Tp7aMAAfVPF.jpeg
    143.4 KB · Views: 1

View: https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=xHtkmBX8xoiK50OS
 
jamaa mtafuta kura anakimbia fursa wazi wazi kabisa ya mdahalo, pamoja na mdomo na makelele yake yote kumbe mzee waziri ndio kuboko yake, dah!!

naona anawakilisha vijana suruali vizuri sana dhidi ya wazee wa mujini 🐒
Wewe mwenzetu kutetea madudu ya CCM ndo ajira yako. Kwa hiyo mtu akiona post zako akuelewe tuu.
Uchawa Ndo unaleta ugali mezani.
 
Uelewa wako ni finyu sana.
Wee ngoja akitoka ikulu na habari za
"Sasa ! Tunalala barabarani "
ujue ni hasira za kunyimwa asali!
Any way wafuasi wa Lisu mtakaokubali kulala barabarani msisahau kwenda na vyandarua hasa kama mtalala barabara za Dar es salaam maana Dar kuna mbu sio kawaida vinginevyo barabarani mlale mchana ikifika usiku mnaamka na kwenda kulala makwenu!.
 
Akili matope hizi.
 

Attachments

  • JamiiForums1381953234.jpeg
    49.5 KB · Views: 1

Lissu hawezi kufanya mdahalo na machawa. Kama Samia anataka Mdahalo na Lissu hapo tungemuelewa. Sio huyu mzee ambaye hajielewi. Kuna wazee wenzake kama Jereali Ulimwengu na Warioba kama anatafuta mjadala wapo sio Lissu. Lissu ni level ya Raisi pekee kwa sasa
 
Hakika ni majibu yalonyooka vyema,ambao hawajaelewa waachwe hivyo hivyo.
 
Samia kutaka mdahalo na TAL si rahisi.
 
jamaa mtafuta kura anakimbia fursa wazi wazi kabisa ya mdahalo, pamoja na mdomo na makelele yake yote kumbe mzee waziri ndio kuboko yake, dah!!

naona anawakilisha vijana suruali vizuri sana dhidi ya wazee wa mujini 🐒
Tlalalalah You heard?
 
Wsira akaongee na myika, Lissu kama mwenyekiti anataka kuzungumza na mwenyekiti mwenzake
 
Hamna uwezo wa kujenga hoja mbele ya Mheshimiwa Stephen Wasira
Acha ujuaji na kujipa muhimu kwa wanaume, simba hali mizoga! Hana impact mzee wa fursa atalala tu hoja gani mpya kaongea tangu kapewa ułaji wa kumalizia maisha yake? Anasema yaleyale ya kuchimba mashimo ya vyoo na barabara tunaysikia tangu ninenteen kweusi hd tumezeeka tushagachoka
 
Mkuu, naona umepotosha kidogo. Hicho kipindi, nimekisikiliza mwanzo mwisho! Lissu, kasema kukutana/kujadiliana na Mzee Wassira ni kupoteza muda, kwani hana maamuzi yoyote. Muamuzi ni Rais Samia na Serikali yake. Akatoa mfano kuwa, walikutana na Kinana kwa mwaka mzima, kuna mambo walikubaliana, lakini walipofikisha kwa Rais Samia, akayatupilia mbali. Kwa hiyo, wakawa wamepoteza muda bure, ambao kwa sasa hataki kuupoteza! Hakumaanisha kuwa Mzee Wassira hana hoja ya kuweza kujadiliana naye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…