LGE2024 Lissu: Kukamatwa kwa Mbowe iwe fundisho tusirudie kudanganywa danganywa

LGE2024 Lissu: Kukamatwa kwa Mbowe iwe fundisho tusirudie kudanganywa danganywa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ila nyie majamaa bwana.
Sasa Mratibu wa ratiba ni nani?
Polisi
Tume
Aaau
Serikali
Ratiba za vyama vyote vya siasa nchini ziko polisi, na vyama vyote wanazo nakala ya ratiba hizo, ambazo ikiwa chama kinahitaji marekebisho, wanawasilisna na polisi kisha wanaokubaliana cha kufanya ili kuwepo na ulinzi wa wanaoshiriki kampeni hizo.

sasa hii ya kukurupuka ndiyo hii inayodhibitiwa na haiwezi kuruhusuwa hata kidogo 🐒
 
Ratiba za vyama vyote vya siasa nchini ziko polisi, na vyama vyote wanazo nakala ya ratiba hizo, ambazo ikiwa chama kinahitaji marekebisho, wanawasilisna na polisi kisha wanaokubaliana cha kufanya ili kuwepo na ulinzi wa wanaoshiriki kampeni hizo.

sasa hii ya kukurupuka kama nyumbu, ndiyo hii inayodhibitiwa na haiwezi kuruhusuwa hata kidogo 🐒
Ndio wamkamate si wangemwelekeza tu
 
Kila jambo lina mwisho.
Umma watachoka saana halafu watakuja kuchukua hatua za kushangaza hao waonevu
 
Chadema tambueni kwamba mpo vitani, kulalamika tu kwa maneno matupu haitwasaidia kitu. Chukueni hatua madhubuti ili kukomesha udhalimu huo mnaofanyiwa, tumechoka kusikia malalamiko yenu ya maneno matupu miaka yote.
Ikiwa Kama Ccm inatumia majeshi yake ya Polisi na Tiss, Je, na nyinyi nao mnashindwa Nini kutumia ya kwenu???

"The right cannot be given as a gift by the oppressor, it must be demanded by the oppressed."

Dr. Martin Luther King Jr.
Wananchi mngekua mnawapa ushirikiano dhabiti mbona ungeona wakitimiza yao kwa usawa
 
Lisu ni mwanasiasa mwenye akili kubwa sana Dunia nzima kwa sasa. Huyu akija kuingia madarakani atatunukiwa Digrii za heshma zaidi ya 20 duniani kote .

Huyu ndiye mtu tunayemhitaji kwa sasa . Wale wengine ni mazao ya Rushwa na dhulma hawafai hata kuongozwa mitaa ya Kariakoo lilipoanguka Jengo .

Ni aibu kubwa kuzuia mikutano ya watu ambao wagombea wao karibu wote wameenguliwa.

Yaani ni kama Bondoa anapigana akiwa amefungwa mikono halafu mpinzani wake anasema afungwe na macho pia ?

CCM kwa hali hiyo itakuja kuondoka Madarakani kwa bifu kubwa sana . Na itafikia mahali ataingia mtu kwa visasi na kuwapeleka mahakamani waliofanya unyama na hujuma mbali badala ya kustaafu na kufurahia utumishi wao.
 
Ndio wamkamate si wangemwelekeza tu
hataki kuelekezwa, anakaidi kila anachoambiwa, na halii hiyo ikazidisha wasiwasi juu ya lengo lake, na kulazimu vyombo vya ulinzi na usalama kulazmika kumchukulia hatua ya kumdhibiti na kumtia nguvuni ili asiharibu ratiba za wengine.

ataachiwa itakapoonekana ina faa 🐒
 
MI naamini ifafaa pale ambapo uchaguzi utakuwa umekwishafanyika
 
MI naamini ifafaa pale ambapo uchaguzi utakuwa umekwishafanyika
ukivuruga ratiba za kampeni maana yake unavuruga shughuli na kazi za wengine wasio husika na kampeni zako.

Lazima wakati kampeni zinaendelea na shughuli za wasio husika zinaendelea kwa amani bila fujo.

kukiuka ratiba a kukaidi maelekezo ni kuchochea vurugu na kuvuruga amani katika eneo husika.

Ustaarabu ni kitu cha bure 🐒
 
Back
Top Bottom