LGE2024 Lissu: Kukamatwa kwa Mbowe iwe fundisho tusirudie kudanganywa danganywa

LGE2024 Lissu: Kukamatwa kwa Mbowe iwe fundisho tusirudie kudanganywa danganywa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kwa ujio wa hivi vyuma ccm ,hapalaliki , kosa wamefanya ccm kujitangaza mapema kabla ya kusoma upepo, ICC watajaa sana watu kama uchaguzi utafanyika , wazee wangu katika mfumo sukumeni kete kwa tadhali kubwa , hasa wewe mzee wangu ,sie kama familia bado twakuhitaji sana ,mzee wangu, ukiona vipi piga chini kazi, kama umetukuza nakufika hatua hii, tunashindwaje kukutunza mzee, hatuwezi shindwa kukutunza kama ambavyo umetutunza , tunao uwezo wa kukulipa mshahara wa kila mwezi utakao mzee wetu,

Piga chini kazi , ili unemeke na matunda ambayo umeyatengeneza mwenyewe chini ya usaidizi wa mama, love you mzee
 
Back
Top Bottom