Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Imebidi nikufuate hadi huku sababu kule mjadala umefungwa na ulipmgea hivi
"Pamoja na hayo nina ushahidi wa watu wenye uwezo waliowapeleka watoto wao kusoma nje tangu wakiwa wadogo hawajajitambua mwisho wa siku wamekuja kuwa vituko. Tofauti na lugha hakuna kingine zaidi ya kufanya vitu vya ajabu kinyume kabisa na maadili ya jamii yao"

Sasa nikujibu, sisi watoto wa kishua karibu wote tunajuana na kama tuko nje ya nchi tuna juana na wale walio soma toka watoto nje ya nchi ndio tuna wajua zaidi sababu hao ni wametufunga magoli kwa kwenda kusoma nje mapema zaidi ya sisi tulio subiri hadi kumaliza sekondani.
Kwa hiyo nataka nikuambie suala la watoto wa kishua kuja haribikiwa kwa sababu ya kwenda ulaya mapema sio kweli kabis ani uongo nakama wapo ni wachache sana , hiyo huwa habari ya watu wa vijiweni mabao hawajuo lolote , sidhani kama wewe hata umetokea maisha hayo ya kishua , sababu kama ungetokea ungekua umesha jua , au labda kwako kuharibikiwa ni kuvaa nguo fupi na kwenda club ambapo ni kitu cha kawaida , hao unao wasema wewe labda walitokea uswahilini lakini wale wenzetu wa Oysterbay ,masaki, Reagent ambao tume kaa nje kwa kupelekwa na wazazi wao ni wachache sana walio haribikiwa , wengi wako vozuri na tuna juana wote vizuri tuu .
 
huna lolote kiingereza si lugha pekee duniani na kila mtu ana lugha anayoielewa si lazima ufahamu kila lugha

..kiingereza mgogoro.

..kiswahili matatizo.

.." tuna ... wa ajabu kupata kutokea Tz."
 
Amini amini nakuambia, mwanaume anaye shindwa kumfikisha mkewe kilele cha raha anaiweka ndoa matatizoni, lakini mwanamke anaye amua kutangaza udhaifu huu mtaani anaua ndoa asubuhi SAA tatu.
Tundu Lissu ni aibu ya taifa hili.

Aibu sio lile jamaa lenye bonde kichwani lisilojua kingereza??
 
Kwa hiyo siasa za ndani zimewashinda mnategemea wazungu waiwekee vikwazo Tz na ninyi ndo mtokee hapo? Poor you..!Wazungu ni werevu na wana maslahi endelevu kwa nchi zao.Wale wanawasiliana na serikali kwa jambo lolote na usifikiri atakachotapila Lissu ndiyo kitakuwa final..thubutu..fanyeni kazi za kujiletea maendeleo na si kama fisi kusubiri mkono wa binadamu udondoke..
Poa kikubwa ukweli utawale
 
Kumbuka hao jmaa hawashindwi kitu. Kma ccm wameweza kuiba uwezo wako wa kufikir sasa wazungu wakiamua si hta jicho wanaweza kukuomba na ukawapa.
 
Mimi simjui aliyemshambulia ila nnachojua huyu jamaa aliomba nchi wafadhili waache kuisadia tanzania..
Pia kumbuka mtu wa Magogoni alitoa kauli kuwa Tanzania itatoa misaada kwa nchi zingine. Ina maana Tanzania ya Mtu wetu haihitaji misaada kwa hiyo Lisu anatekeleza au anaunga mkono kauli ya Magogoni
 
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Dah ...Trump was right[emoji41]
 
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Mpaka leo huyo Lisu bado hajafanya mazungumzo na wazungu wake? Mbwembwe nyingii kumbe ni hewa tupu.
 
Back
Top Bottom