Kilemachocho
JF-Expert Member
- Feb 19, 2016
- 560
- 365
Kama ni taarifa ya kuamninika itapendeza kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi simjui aliyemshambulia ila nnachojua huyu jamaa aliomba nchi wafadhili waache kuisadia tanzania.....na aliye mshambulia na silaha ya kivita tumuite vipi
Yaani munashangilia kuahidiwa kukutana na viongozi wa nchi za ulaya! Taabu kabisa! No wonder shithole......Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Duh! Yaani hakuna wa kujibu hapo.Hilo bonge la tofali...mbona Mkulu amekutana na majizi yaliyotuibia madini yetu na kufanya nayo mazungumzo.
..tena akakutana na Babu Seya, mlawiti watoto, mahala "patakatifu."
We mtu wa 2009 ndani ya JF bado unaamini hiyo ndo kazi ya mwanasiasa mzuri? Tanznia ni nani, wewe ni nani na Lissu ni nani?Atahakikisha jumuiya ya kimataifa inaitenga na kuisusa Tanzania
si kila ujinga na matapishi yanafaa kujibiwa ukiona kimya jua ni matapishi hayo...nakujuza tu usishangae kwa nini hajibiwiDuh! Yaani hakuna wa kujibu hapo.Hilo bonge la tofali.
si kila ujinga na matapishi yanafaa kujibiwa ukiona kimya jua ni matapishi hayo...nakujuza tu usishangae kwa nini hajibiwi
Mpaka utapike...mbona Mkulu amekutana na majizi yaliyotuibia madini yetu na kufanya nayo mazungumzo.
..tena akakutana na Babu Seya, mlawiti watoto, mahala "patakatifu."
Hata asiposema yeye kipi siri wazungu wasichojua,wanaijua Africa kuliko hata wwe.Akiisemea vibaya nchi yetu cha kufanya ni kumtangazia vita kuwa ni adui Wa nchi yetu na hatakiwi kurudi nchini!! Tuone kama wazungu watamsaidia kurudi!! Awage mkimbizi huko!!
Huyo ni yuda na unajisumbua tu hatafanikiwa kamwe na akitoka akae hukohuko aliko manake anachokifanya hasitahili kuitwa mtanzaniaAtahakikisha jumuiya ya kimataifa inaitenga na kuisusa Tanzania
Kutengwa sio jambo jema, tunataka umoja zaidi. Kukosoa kwetu na kukemea serikali iwe kwa manufaa ya taifa na sio kubomoa. Tukitaka kutengwa au kukomoa basi jua kuwa tumejawa na roho ya chuki.Atahakikisha jumuiya ya kimataifa inaitenga na kuisusa Tanzania
Kimsingi si Yuda, ila anasugua vidonda vya watu ndio maana anachukiwa na wachache wasiolewa maana ya kukoselewaHuyo ni yuda na unajisumbua tu hatafanikiwa kamwe na akitoka akae hukohuko aliko manake anachokifanya hasitahili kuitwa mtanzania
afanye afanyalo lkn huyo ni yuda tu km asingeonyesha bombardie ilipo hilo la kikosoa siyo shida.aidha alishawahi kusema ataenda kutuchongea kwa jimuia ya kimataifa ili tukose msaada wakati hilo likifanikiwa hata wapiga kura wake nao wataathirika vibaya mtu wa hivyo ni yuda tu hakuna jina lingine lomfaalo na akifanya hayo akae hukohuko asikanyage nchi hii akiwa hai.Kimsingi si Yuda, ila anasugua vidonda vya watu ndio maana anachukiwa na wachache wasiolewa maana ya kukoselewa
Chambele cha watu kumpiga chura teke ni kumuongezea mwendoMhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
afanye afanyalo lkn huyo ni yuda tu km asingeonyesha bombardie ilipo hilo la kikosoa siyo shida.aidha alishawahi kusema ataenda kutuchongea kwa jimuia ya kimataifa ili tukose msaada wakati hilo likifanikiwa hata wapiga kura wake nao wataathirika vibaya mtu wa hivyo ni yuda tu hakuna jina lingine lomfaalo na akifanya hayo akae hukohuko asikanyage nchi hii akiwa hai.
Hebu rudia kidogo hapo kwenye Bombadearafanye afanyalo lkn huyo ni yuda tu km asingeonyesha bombardie ilipo hilo la kikosoa siyo shida.aidha alishawahi kusema ataenda kutuchongea kwa jimuia ya kimataifa ili tukose msaada wakati hilo likifanikiwa hata wapiga kura wake nao wataathirika vibaya mtu wa hivyo ni yuda tu hakuna jina lingine lomfaalo na akifanya hayo akae hukohuko asikanyage nchi hii akiwa hai.
acha kuchanganya madawa km huna hoja bora ujinyamazie..na waliomruhusu Babu Seya Ikulu ni watu wa aina gani?
..je, hao siyo wasaliti, wahujumu, wanaochafua taswira ya Tanzania?
Nafas adim hyoMhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA