Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

UCHUNGUZI HURU UMEBAINI KWAMBA MH TUNDU LISSU NDIYE MWANASHERIA BORA KABISA KUWAHI KUWEPO KWENYE ENEO LA MAZIWA MAKUU TANGU KUUMBWA KWA MBINGU NA ARDHI
Hana lolote huyo mnafiki tu na mropokaji hakuna mwanasheria mropokaji kama huyu eti anapaswa ga kampeni Tanzania itengwe na jumuiya za kimataifa isipewe misaada ...huyu ji..ng.a kabisa
 
mwanasheria mropokaji sana huyu...anapiga kampeni Tz isipewe misaada?!
 
Rudia kusoma posts # 5, # 6, # 7 za uzi huu.

Kwa sasa Lissu ni mgonjwa maamuzi yake mengi yanaratibiwa na wanaomzunguka. KWa kifupi ni 'mateka' kwa wanaomzunguka kwa sasa, Lissu ni binadamu anapata maumivu kama binadamu mwingine. Hivyo ili aepuke maumivu hayo lazima apone. Kwa hiyo yeyote kwa sasa atakayemshauri kwa kumwambia afanye jambo fulani ili apone. Kwa vyovyote vile mgonjwa , Mh. Lissu, atafanya. Kwa hiyo tunapoona maneno maneno yasiyofaa kwa ustawi wa mshikamano na amani ya nchi yetu kupitia ugonjwa wa mtanzania mwenzetu, Mh.Lissu, lazima tuseme kwa ukali.

Uko sahihi tu ndugu yangu...

Hata hivyo Tundu Lissu kichwa na akili yake iko perfect na inafanya kazi vyema pengine kuliko hata yako....

NB: Hakuna uhusiano wowote wa mstakabali wa amani na usalama wa nchi yetu kwa Lissu kukutana na kuzungumza na watu wanaomtembelea anakotibiwa...

Mfano Mama Samia Suluhu (URT Vice President) alikutana naye na wakazungumza, nothing happened, hatukuona kuyumba kwa usalama wa nchi yetu....

Hawa wengine wana nini hata uwe na wasiwasi wa jambo lisilokuwepo mkubwa??

Shaurianeni na wenzako huko mlipo ili ikiwezekana mtengeneze uwezekano wa kumchagulia watu wa kuonana na kuzungumza na Tundu Lissu huko anakoendelea kupata matibabu!!

Sasa sina hakika kama hili litawezekana
 
Trump hajakosea kwa mtu kama wewe.
Ndugu huyo trump alichokisema kinaendaje na mimi. ? Kwani katika moja ya hotuba zake Lissu hakuitaka jumuiya ya kimataifa kuizomea, kuisusa, kuitenga Tanzania? ??kama Huna video clip yake angalia YouTube. Ss unafikiri kama hilo ndilo lililojaza moyo wake unafikiri akikaa na watu weupe atasemaje?
 
Jumuiya ya kimataifa ikiisusa na kutenga Tanzania nani anafaidika na nani anapata hasara? Halafu wewe unaacha kuipenda nchi yako unakomaa kumsujudia huyo Lisu wako na wazungu. Ifike wakati waafrika tujikubali na tujitambue na tuache kuwasujudia hao wazungu mnaowalilia na kujipendekeza kwao wakati wao wanafurahi nyani mnapogombana.
 
Mna woga usio na sababu kwa jambo lisilokuwepo (fear of nothing)

Well. Kwa tahadhari, kwanini msifanye utaratibu ili asiweze "kukaa na watu weupe" ili kuondoa woga wenu??

Na nadhani utaratibu wenyewe ni kuwaamuru tena kwa mara nyingine "Assassins" wenu wa kikosi cha mauaji cha Daudi Albert Bashite kuzikoki vyema SMG na AK47 ili wakammalize kabisa, mnasemaje?
 
Waliompiga risasi ndiyo wametuletea balaa yote hii shame and curse on them and who sent them to do so!
 
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
..ahishie Huko Huko,..
 
mwanasheria mropokaji sana huyu...anapiga kampeni Tz isipewe misaada?! ji.ng.a sana huyu na
Magu alishasema Tanzania ni nchi tajiri sana wala hahitaji misaada bali tutaanza kutoa misaada nchi za nje. Sasa nakushangaa wewe boya, misaada gani unataka upewe? Ina maana unaenda kinyume na maneno ya mkulu kama boya mwenzio Nkamia? Au unamaanisha Lissu atazishawishi nchi za ulaya zisipokee misaada kutoka nchi yetu tajiri Tanzania? Usitumie matako, tumia kichwa kufikiri!
 
Jumuiya ya kimataifa ikiisusa na kutenga Tanzania nani anafaidika na nani anapata hasara? Halafu wewe unaacha kuipenda nchi yako unakomaa kumsujudia huyo Lisu wako na wazungu. Ifike wakati waafrika tujikubali na tujitambue na tuache kuwasujudia hao wazungu mnaowalilia na kujipendekeza kwao wakati wao wanafurahi nyani mnapogombana.
Hivi LISU kaikosea nn TZ mbona mm cielew kitu hebu funguka kidogo na mm nianze kumchukia.
 
Ndio nini sasa acha utumwa wewe mbongo ndio mnaosababisha tutukanwe kwa ujinga wenu wa kujipendekeza kwa watu weupe
 
Mpuuzi ni yule anayeagiza kukamatwa kwa wapinzani kila siku kwa kisingizio cha uchochezi. Huyo ndio mpuuzi hasa na wewe bila shaka unamfahamu. Huyo ndio hasa anayetakiwa kuondolewa.
Sijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu
 
Back
Top Bottom