Nakupa mfano mwepesi, ., sheria inasema ukihisi au ukimkamata mtu na bastola au bunduki ukahisi tu kuwa ni jambazi unampeleka kwenye vyombo vya sheria, ILA Africa hii wanarudi uraiani tena na kusumbua RAIA, SO sasa hivi hakuna muda wa kufata sheria, ni RISASI tu, tukikukamata na bunduki ni RISASI tu hata uwe Mtoto wa nani , ilimradi hauimilimi kihalali, ndo maana muda unavyoenda ujambazi unaisha, sio kama huko nyuma kila siku majambazi majambazi.. Tungefata sheria ingekuwaje???., SO wakati mwingine binadamu anahitaji ubabe ili Maisha yasonge, CHINA isingefika ilipo bila ubabe na ubabe wa RISASI, mtu akizingua ni RISASI tu huko CHINA. Huyo shujaa wenu anachoendelea kukitafuta atakipata tu.