Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Haya sasa; siku ya tatu hii, huo mkutano bado haujafanyika hapo ufipa?
 
Kwa kweli nilikuwa najiuliza kwa nini lissu apelekwe ubelgiji badala ya nchi nyingine mahiri kwa utabibu wa binadamu, kumbe ni mbinu nyingine ya kwenda jumuia ya ulaya kwa mgongo wa matibabu?
Hao wabelgiji si ndio walimuua Patrice Lumumba wa Congo kwa kumyeyusha na acid au?
Poor politics za cdm hadi mnatukera wapiga kura.
unaugonjwa wa meningitis
 
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Huu ni uongo mchana kweupe. Watu wanaojua masuala ya global political economy na diplomacy wanaona wazi kuwa hii ni political spin (kamba).

Wazungu hawaendi kusipokuwa 'potential ya soft power' ya kuwasaidia kunyonya. Lissu hana potentiality hiyo isipokuwa uongozi wa crippled TLS! Na iwapo wazungu wangetaka kupata entry-point kupitia kwa Lissu watawatuma junior technocrats, siyo high profile political leadership. Mleta uzi anacheza siasa za matukio za Chadema ambazo kwa bahati mbaya hazitawaongezea chochote kwenye chama chao. The party is alas, drowning!
 
Kwa hiyo siasa za ndani zimewashinda mnategemea wazungu waiwekee vikwazo Tz na ninyi ndo mtokee hapo? Poor you..!Wazungu ni werevu na wana maslahi endelevu kwa nchi zao.Wale wanawasiliana na serikali kwa jambo lolote na usifikiri atakachotapila Lissu ndiyo kitakuwa final..thubutu..fanyeni kazi za kujiletea maendeleo na si kama fisi kusubiri mkono wa binadamu udondoke..
Issue ni marisasi yote 38 yatatuletea fedheha
 
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA

Siyo kwa siasa za dunia ya leo...Mambo yamebadilika.pambaneni na hali zenu...tena Ulaya atakabiliwa vilivyo.Wala asijidanganye
 
WAZIRI MKUU WA UBELGIJI NDIO NANI?SISI HUKU TUNAMJUA MZEE WA SHITHOLE WENGINE HAO NI SAWA NA DR SHIKA TU
 
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Bila shaka itakuwa kesho hiyo mkuu .
 
Jumamosi Lissu uso kwa uso na wenye dunia.... ntawapa taarifa kamili ,
 
Akiisemea vibaya nchi yetu cha kufanya ni kumtangazia vita kuwa ni adui Wa nchi yetu na hatakiwi kurudi nchini!! Tuone kama wazungu watamsaidia kurudi!! Awage mkimbizi huko!!
 
Mtu mwenye akili timamu huwezi kudhani kwamba huyu naye ana akili timamu.
 
UCHUNGUZI HURU UMEBAINI KWAMBA MH TUNDU LISSU NDIYE MWANASHERIA BORA KABISA KUWAHI KUWEPO KWENYE ENEO LA MAZIWA MAKUU TANGU KUUMBWA KWA MBINGU NA ARDHI
UBORA WA KUROPA TU! NA AENDE TU SI TUNAMSUBILI!
 
Tatzo hamuelewi. Mnaongelea mambo ya kupigwa risasi kwa lissu wakat hukohuko ulaya ndio vinala Wa kupiga risasi..

Wameuwawa watu wazito na mashuhuri kwa risasi Leo hii mnafikir watashtuka ya lissu?
Jaribuni kujua siasa za kimataifa
Wewe kwa uelewa wako ulaya kiongozi wa kisiasa anapigwa risasi na inakuwa business as usual, hakamatwi mtu, katiba inavunjwa hakuna kitu, uhuru wa kujieleza wala kufanya siasa unaminywa hakuna kitu, ndio kulivyo ulaya?

Katafute wapumbavu kuwadanganya, huko hata paka wako tu wa kufuga ana haki itakuwa ya binadamu! No wonder tunatukanwa na Trump kwa akili kama zako
 
Back
Top Bottom