G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Ijumaa mchana kishindo kikubwa kinatua Arusha. Ni Tundu Lissu "The chosen" atasambaratisha shughuli nyingi kwa muda wa masaa matatu. Pale atakapotafuta wadhamini kwa ajili ya kupeleke uelekeo mpya nchini na kuufuta udikteta unaotaka kuchipua!
Tukutane Kimandolu hadi Moshi mjini!
Tukutane Kimandolu hadi Moshi mjini!