sambeke
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 713
- 651
Yaani huu ni ujinga kuamini TL anashinda uchaguzi, labda kwa mapinduzi. Ila hata bila kuiba Magufuli anashinda.
Uchaguzi ni mchakato sio mafuriko ya wafuasi. Unaanzia kwenye mashina mpaka juu, pia kuna ishu ya uboreshaji wa daftari la kupigia kura, naamini kabisa wakati haya yakifanyika vijana wengi wa upinzani hawakuwa na awareness kubwa, wakati huo ccm wao wameliboredha hilo dafrtari kwa weledi mzuri mno kupitia uhamasishaji wa wenyeviti wa vijiji ambapo chadema walizira wakati wa uchaguzi wao.
Hapo ndo shida inapoanzia