Uchaguzi 2020 Lissu kulitikisa jiji la Arusha Ijumaa, shughuli mbalimbali zitasimama kwa muda

Yaani huu ni ujinga kuamini TL anashinda uchaguzi, labda kwa mapinduzi. Ila hata bila kuiba Magufuli anashinda.
Uchaguzi ni mchakato sio mafuriko ya wafuasi. Unaanzia kwenye mashina mpaka juu, pia kuna ishu ya uboreshaji wa daftari la kupigia kura, naamini kabisa wakati haya yakifanyika vijana wengi wa upinzani hawakuwa na awareness kubwa, wakati huo ccm wao wameliboredha hilo dafrtari kwa weledi mzuri mno kupitia uhamasishaji wa wenyeviti wa vijiji ambapo chadema walizira wakati wa uchaguzi wao.
Hapo ndo shida inapoanzia
 
Uchaguzi wa huru na haki, Lissu anapita.
 
Mkuu huo uhuru na haki upi??
Lazima kuwe na mikakati ya ushindi sio kutegemea mafuriko. Haya tumeshayazoea yanatokea kila mwaka wa uchaguzi. Tena haya madogo ya 2015 yalikuwa makubwa sana
 
Huu kama ni UDIKTETA tutapambana kwa nguvu ili udumu maana tumeona matunda yake.

BABA MAGUFULI KABA MPAKA WAKOROME.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Figisu kama walivyozoea, ila ukweli wa mambo bado utabaki wazi na mwisho wao bila shaka nao wanauona.
 
Hawatakuelewa!!
 
Udikteta sasa basi! Yaani hata kusikiliza BBC Radio imekuwa ni uhaini
Hatushangai hata wakati wa Mugabe, Zimbabwe ilikuwa hivyohivyo. Madikteta wakiishachemsha huwashika uchawi majirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…