Pre GE2025 Lissu, kuna baadhi ya mambo busara inakutaka usiyazungumze in Camera mpaka inapokulazimu kufanya hivyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Best writing ever! Sasa Mbowe aende wapi? Awe mzee wa Chama?? Maana nje ya uenyekiti inawezekana fursa hakuna
 
Lissu anakosa busara na kila uchao namuona akuzidi kupungua na si kuongezeka.

Anachokifanya Lissu ni kulazimisha nafasi ya kugombea uRais apewe iwe iwavyo.

Lissu zaidi ya risasi alizopigwa hana jioya,lugha yake imekosa stara,uwasilishaji wake wa hoja umokosa mvuto kwasababu anatumia lugha ya matusi & dharau pasipo sababu za msingi.
 

Basi wewe una akili na busara kumzidi.

Ndiyo maana wabongo mnachezewa na CCM kwa sababu mko tayari kutetea ufisadi kama ufisadi huo unafanywa na mnayempenda.

Mko tayari kuuona wizi ni akili kama wizi huo unafanywa na mnayempenda.

Lissu anawaeleza ukweli kuwa chama kinanuka rushwa, badala mkasirike na mkikomalie chama kijirekebishe nyie mnamtundika mishale!
 
Leo umemuona Lissu wako!!!! Mdogo mdogo utamwelewa. Tulikueleza kuwa hafai wewe ukatuona hayawani
 
Mbowe anaangalia ni nani ndani ya familia yake anafaa kumuachia uwenyekiti wa chama
 
Leo umemuona Lissu wako!!!! Mdogo mdogo utamwelewa. Tulikueleza kuwa hafai wewe ukatuona hayawani
ANAFAA SANA TENA SANA. LISU SI MALAIKA AMETELEZA KIDOGO LAKINI BADO YUKO KWENYE MSINGI MKUU KUKATAA RUSHWA.
 
Mshaanza kumtisha
NO, not at all! Ni ushauri tu kwa ni anjma. Mimi ni muumini wa chadema, penye wazo la kujenga nitalisema, la kubomoa sitalisema
 
Binadamu tunatofautiana sana uoni, haya watu mnayasema leo, niangalieni mimi mwenzenu niliyasema lini CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! humo nilisema
Ushauri huu ulitolewa 2010, ungefuatwa , 2015 ilikuwa Chadema inatinga ikulu!.
P
Contradiction el minis terminis- this is contradiction as to your own terms, wewe unamaandiko mengi kuhusu hili yanayokinzana. Huaminiki!
 
Kuna mengine ukitka kujenga usiyaseme hadharani. This is my point! Ukimkuta mke wako anazini, huwezi kusema eti ni ukweli. Never! scenario hiyo ichukue mpaka kwenye mambo mengine vle vile ambayo ni sensitive!
 
Kwaiyo kama kuna rushwa akae kimya hiyo ndo busara?
 
Lissu anafaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ili akirudishe kwenye misisngi yake, sio huyo Mbowe vuguvugu. Na CHADEMA itadondoka kutokana na kiburi Cha Mbowe.
Misingi ipi imeachwa? Mbowe yuko vuguvugu ipi? Unataka confrontational politics? Wakati utafika hata wa kwenda msituni, lakini lazima uanze na dialogue! Naunga mkono sisa za Mbowe
 
Rushwa inakemewa hadharani, hiyo ni ishara tosha ya kuikataa.
True, lakini inategemea ni wakti gani wa kuikemea hadharani. Chadema wana hasimu mkubwa CCM, he will bank on that. Wangeongea kwenye vikao vyaoakamwaga radhi kisawasawa, siyo hivi alivyofanya! CCM wameshapata pa kusemea at the detriment of chadema.
 
Contradiction el minis terminis- this is contradiction as to your own terms, wewe unamaandiko mengi kuhusu hili yanayokinzana. Huaminiki!
Politics ni science, political science inafuata scientific research ya postulates and proofs.
Politics is the game of chance, hivyo inafuata kanuni za probability.
Politics is relative hivyo zinafuata kanuni za relativity
Kwenye maandiko yangu contradictions ni part and parcel of the probability ya Politics, mfano wengi wanaamini mgombea urais wa CCM 2025 ni Rais Samia, I think other wise, nimemtaja Dr. Mwinyi, Nimemtaja Dr. Mpanga, Nimemtaja Dr. Tulia, and the numbers goes on na hakuna contradictions.
-
- Kuelekea 2025 - Kinyang'anyiro cha Urais 2025 kwa tiketi ya CCM: Dkt Mwinyi kuwania Urais wa Muungano?

Hivyo nimewataja watu wanne na hakuna contradiction yoyote.

P
 
True, lakini inategemea ni wakti gani wa kuikemea hadharani. Chadema wana hasimu mkubwa CCM, he will bank on that. Wangeongea kwenye vikao vyaoakamwaga radhi kisawasawa, siyo hivi alivyofanya! CCM wameshapata pa kusemea at the detriment of chadema.
Ukiona katoka nje na kusema ujue huko ndani haeleweki.
 
Unakosea.Lissu ameamua kubaki upande wa kukubali kukosea.Kuna kitu anakijua na hapendi kimtafune.
Lisu ni muhujumu na huenda anapanga uhaini kwenye taasisi yake mwenyewe πŸ’

kulikoni uketi upande wa mti unaoukata ili uanguke nao mwenyewe?

ni akili gani anatumia?, eti halafu ni kiongozi muandamizi..

tunasema everytime, everyday Lisu na Mbowe wanaogopana, wanaoneana aibu, hawazungumzi vizuri, hawa wangwana wanakipasua na kukigawanya chama....

lakini mmekalia kushupaza shingo zikatike kwa kudai hakuna tatizio,
haya sasa Makamu mwenyekiti taifa analilia rushwa ndani ya chama, sio nje,

anamlalamikia nani sasa, na yeye ni kiongozi muandamizi na tena mwanasheria mbobevu badala ya kuchukua hatua...

kiongozi kama huyo anaweza kuongoza nini sasa kama hawezi kusaidia kukabiliana, kuchukua hatua na kuitokomeza rushwa kwenye taasisi yake?πŸ’

useless leadership πŸ’
 
ANAFAA SANA TENA SANA. LISU SI MALAIKA AMETELEZA KIDOGO LAKINI BADO YUKO KWENYE MSINGI MKUU KUKATAA RUSHWA.
Pamoja na kupiga kelele (capital letters), used amuelewa tu
 
Lissu anafaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ili akirudishe kwenye misisngi yake, sio huyo Mbowe vuguvugu. Na CHADEMA itadondoka kutokana na kiburi Cha Mbowe.
mbowe ni opportunistic .

lema mwenyewe ile 900 million akiikumbuka anajuta kutoichukua.hahahahaa
 
You want him to use his wisdom because his words threatening Your be loved party?
Tell us if he is right or night?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…