Uchaguzi 2020 Lissu, kuna kila dalili wenye CHADEMA yao hawakutaki ugombee urais, kama vipi twen'zetu ACT Wazalendo

Mimi natamani aje wakati ameshateuliwa kugombea urais na kampeni zinaanza Kama kesho tuone wa kumkamta?hao CCM sometimes mnawapa sifa wasizostahili na ndo maana wanaharibu nchi yetu

Acha ujinga. Lissu Ana kesi na wala haihusiani na CCM. Then unaonekana ndo Wale Wale Tz hatutaki waongeaji. Nyerere alishanaliza Hotuba Zote. Sasa tunataka kazi.
 

Habari za mitandaoni
 
Vipi na Lowasa mlimpigia hizo kura za NDIYO/HAPANA 2015?

Hakupigiwa. It was a strategic miscalculation iliyokuwa na tatizo kwenye mtazamo wa chama pamoja na kwamba haikuwa na any negative impact kwenye matokeo. Take it that CHADEMA imepata somo; safari hii inatengeneza taswira bora mbele ya umma hata kama nayo haitakuwa na impact yoyote kwenye matokeo.

Don’t forget hadi sasa hii nchi ni totalitarian state inayoongozwa na chama dola kikongwe zaidi barani Afrika.
 
Aje CCM, atapewa uwaziri mkuu, (i'm sorry Majaliwa, 😀)
Karibu Lissu, usilazimishe sehemu kama hupendeki?
 
Nahisi anataka kujaribu moto wa magu akati anajua kua magu kasha pita au vip jameni
 
Huwa sielewi. Wanaweza kumkmata. How. Lissu Ana kesi ya miaka kadhaa. Sasa kwanini unazungumzia issue as if ataonewA.
Hivi tunaweza kusema kwa uhakika kabisa kuwa sasa hivi polisi, dpp, mahakama na vyombo vinginevyo zinafanya kazi zao objectively kabisa.....bila misukumo ya kisiasa?

Naamini mimi na wewe, sote tunaujua ukweli. Hiyo kesi ya Lissu kupigwa lisasi peke yake inonesha vizuri tu namna jeshi letu la polisi linavyofanya kazi zake.
 
Siasa za upinzani zimezidi kuwa ngumu na dhoofu,demokrasia inachechemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…