Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

Na huyo askari naye asife kikondoo. Ni kuwapiga na counter sue la bilioni tisa kwa kumuharibia jina na usumbufu.

Mawakili wa serikali mko wapi?
Hii ni kesi binafsi siyo dhidi ya jeshi la polisi hivyo mawakili was serikali haihaiwahusu.
 
Lumumba pale jengo jipya mlangoni kuna wakina mama wamevaa sare za Chama Cha Makinikia wanaomba pesa pale.Siku moja nikawaambia nendeni ndani juu mmtafute polepole awape pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila siku mahakamani
Rais wa chama cha wanasheria nchini na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ataongoza jopo la mawakili 29 watakaomtetea Wakili Fatma Karume Katika Kesi Yake Ya Kushikwa Mwili Wake Bila Ya Ridhaa, Kuvutwa Kwa Nguvu Na Kusababishiwa Madhara Katika Bega Lake.

Katika Kesi Hiyo Iliyofunguliwa Mahakama Kuu Ya Tanzania, Bi.Fatma Anamdai Fidia Ya Shilingi Bilioni Moja, Inspekta Eugen Mwampondela Wa Kituo Kikuu Cha Polisi DSM. Fatma Karume amshtaki Polisi aliyemzonga Mahakamani, adai fidia ya bilioni moja

Kesi Itakapoanza Kusikilizwa, Mtuhumiwa Atatakiwa Kuwepo Kizambani Kujieleza Na Kujibu Maswali.

My Take
Cross Examination za Tundu Lissu hazijawahi kumuacha askari salama
Kila kukicha mahakamani tu hadi inaboa
 
Binafsi nazidi kuthibitisha ile dhana kwamba wanasiasa ni wazandiki tena wanahubiri wasichokiamini.
Huyu mama alipaswa kuonyesha uvumilivu na kutoa somo kwa Baba Jesca. Lkn kama wao wanaweza kukwazwa kirahisi namna hii na wakachukua hatua kali namna hii...., iweje washangae pale mkulu anapochukua hatua dhidi ya wanao mkashifu na kundhalilisha kwa matusi na kejeli..?
 
"Cops shouldn't be allowed to touch you unless you are committing a crime. However, they may be able to articulate reasonable suspicion of criminal activity based on perhaps public nuisance laws, disturbing the peace etc... ... Most cops are not going to tolerate much mockery, whether they are right or not.Jan 1, 2015
458fc2d4aac32946b1323b7385d605e4.jpg

Hawa hawakushtakiwa.
Nenda kamtetee mahakamani acha kujilengesha humu.

sent from my BBC using JamiiForums mobile app
 
hii ndio njia pekee ya kusimamisha uvunjwaji wa sheria unaofanywa na vyombo vya dola kwa kutumia nguvu
 
Hii Kazi nayo
Rais wa chama cha wanasheria nchini na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ataongoza jopo la mawakili 29 watakaomtetea Wakili Fatma Karume Katika Kesi Yake Ya Kushikwa Mwili Wake Bila Ya Ridhaa, Kuvutwa Kwa Nguvu Na Kusababishiwa Madhara Katika Bega Lake.

Katika Kesi Hiyo Iliyofunguliwa Mahakama Kuu Ya Tanzania, Bi.Fatma Anamdai Fidia Ya Shilingi Bilioni Moja, Inspekta Eugen Mwampondela Wa Kituo Kikuu Cha Polisi DSM. Fatma Karume amshtaki Polisi aliyemzonga Mahakamani, adai fidia ya bilioni moja

Kesi Itakapoanza Kusikilizwa, Mtuhumiwa Atatakiwa Kuwepo Kizambani Kujieleza Na Kujibu Maswali.

My Take
Cross Examination za Tundu Lissu hazijawahi kumuacha askari salama
Hiyo Kazi nayo ni hatari bora mwalimu
 
Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alikuwa anampapasa kiaina nini
Afande Mwampondela
 
Nadhani ruzuku yoote ya cdm itakua inaishia kuendesha kesi
 
Binafsi nazidi kuthibitisha ile dhana kwamba wanasiasa ni wazandiki tena wanahubiri wasichokiamini.
Huyu mama alipaswa kuonyesha uvumilivu na kutoa somo kwa Baba Jesca. Lkn kama wao wanaweza kukwazwa kirahisi namna hii na wakachukua hatua kali namna hii...., iweje washangae pale mkulu anapochukua hatua dhidi ya wanao mkashifu na kundhalilisha kwa matusi na kejeli..?

Huyo baba jesca anawatukana watanzania wangapi akiwa kwenye ziara huko mikoani ? Yaani anadharau za kufa mtu
 
Duh, "abuse of proffession"??????????

Elimu zenu watu wa lumumba mnazijua wenyewe

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Yaonyesha bavicha huko ufipa mmeambiwa kuwa elimu bora ni kingereza fasaha maana mnatiririka na likes kibao, keep it up hommies!!
 
Mtoto wa kike kuzungukwa na njemba nne kumzonga asiongeee.....huo nni kama sio fedheha
Huyu binti wa Rais mstaafu anajitia aibu tu pamoja na huyo Lisu, kama polisi wakiamua kuwashughulikia itakuwa balaa. Basi kama shida yake ni fedha hizo anazodai basiwapo watu wenye hizo shs. bilioni kadhaa watamlipa
 
Who Pays For Police Misconduct? | Cop Block

Tuchukulie Lissu na jopo lake wameshinda. Worst case scenario kwa huyo polisi ni kufungwa au kufukuzwa kazi.

Matokeo ambayo yangeweza kupatikana kirahisi kama wangemfungulia kesi ya uhalifu wa kawaida.

Hii kesi ya madai wakishinda kina Lissu mlipaji wa hiyo bilioni ni jeshi la polisi. Ni serikali ni walipa kodi na walala hoi.

Lissu huyu huyu anaepinga ufisadi yuko mstari wa mbele kuiingizia serikali na walipa kodi hasara ya bilioni moja. Na hii haitakuwa mara ya mwisho kwa sababu kesi nyingine zitafuatia.

Huyu Lissu mbona yuko zig zag sana.
 
Back
Top Bottom