Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

Hivi ilikuwaje police hawakukala denda kabisa haka ka mbaombao kamfupa na ngozi ili kaende mahakamani vizuri!!
 
Isomwe mawakili wasomi 29 kutetea kesi ya kupakwa jasho wakili wa kike.
Only in Tanzania.
Kwa Kagame na Mugabe hawa watatafuta kazi ingine tu hiyo imewashinda
 
hii ndio njia pekee ya kusimamisha uvunjwaji wa sheria unaofanywa na vyombo vya dola kwa kutumia nguvu

Polisi wanashitakiwa kila siku. Ujue kuna kesi za uhalifu na za madai. Kwa Marekani watu binafsi ndio wanalishtaki jeshi la polisi au serikali. Lakini sijasikia kiongozi mkubwa wa kisiasa John McCain, Paul Ryan, au Obama kakasirika anaishtaki serikali imlipe dola milioni mbili.
Mke wa Trump juzi juzi alilipwa milioni kadhaa kwa kulishtaki gazeti fulani la binafsi sio serikali.
 
Kwa hali hii inaonyesha vijana wa kitanzania na wasomi mmekosa vya kufanya kesi kama hiyo mawakili 29 na inaonyesha ni jinsi gani kuwa mawakili hawajiamini na usomi wao. Wasilete kisingizio cha mshikamano bali ni kutokujiamini

Sent using Jamii Forums mobile app
jina lako bila shaka linasadisu siku akishikwa hivyo mama ako mbele yako utatia akili
 
Hao ni mawakili wasomi nao, wakiongozwa na TL na kibatala!
Tls imetekwa na chadema, imepoteza sura yake kwa kumkubali TL.
Petro E. Mselewa anakosekana kweli hapo kwenye hilo kundi la 'wanasheria wasomi'??
 
Wizi na ujambazi vyote ni wizi.

Picha inayonijia mimi ni kama mifereji ya wizi imefungwa sasa serikali inafanyiwa ujambazi itoe pesa.
 
Yaonyesha bavicha huko ufipa mmeambiwa kuwa elimu bora ni kingereza fasaha maana mnatiririka na likes kibao, keep it up hommies!!


Unaelimikaje halafu kiingereza tena cha kuandika kinakushinda?!!

Inaonekana kule Lumumba ndio mpo watu wa calibre hiyo maana hata mwenyewe ameona aibu kujibu ila wewe na unazi wa Lumumba umekuja kutetea ukilaza wa huyo mwanalumumba mwenzio!
 
Unaelimikaje halafu kiingereza tena cha kuandika kinakushinda?!!

Inaonekana kule Lumumba ndio mpo watu wa calibre hiyo maana hata mwenyewe ameona aibu kujibu ila wewe na unazi wa Lumumba umekuja kutetea ukilaza wa huyo mwanalumumba mwenzio!
Kuelimika sio kujua kizungu mkuu, acha masihara!
 
Rais wa chama cha wanasheria nchini na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ataongoza jopo la mawakili 29 watakaomtetea Wakili Fatma Karume Katika Kesi Yake Ya Kushikwa Mwili Wake Bila Ya Ridhaa, Kuvutwa Kwa Nguvu Na Kusababishiwa Madhara Katika Bega Lake.

Katika Kesi Hiyo Iliyofunguliwa Mahakama Kuu Ya Tanzania, Bi.Fatma Anamdai Fidia Ya Shilingi Bilioni Moja, Inspekta Eugen Mwampondela Wa Kituo Kikuu Cha Polisi DSM. Fatma Karume amshtaki Polisi aliyemzonga Mahakamani, adai fidia ya bilioni moja

Kesi Itakapoanza Kusikilizwa, Mtuhumiwa Atatakiwa Kuwepo Kizambani Kujieleza Na Kujibu Maswali.

My Take
Cross Examination za Tundu Lissu hazijawahi kumuacha askari salama
Inatisha na kusikitisha! Idadi hiyo ya mawakili inatisha kwa wingi wake, ila inasikitisha kwa kuwa implication yake ni kwamba wingi wao ndio akili ikiwa na maana individually wako dull? Ina maana kila mmoja atakuwa anaskariri sentensi yake kwenye hati ya mashitaka au? Hivi kweli wakili mmoja mahiri au hata watatu hawatoshi? Seriously? Au labda fidia ndio inapangiwa matokeo....
 
Back
Top Bottom