Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

Kwani walipomchagua walimkataza asiende mahakamani na segerea? Jukumu la kuwaletea maendeleo watu wa jimbo lake ni la serikali ya CCM chini ya magufuli, mbunge ni muwakilishi tu wa wananchi.
Sasa nimeanza kuamini uhalisia wa DEVILS ADVOCATE!!! hata Bongo wapo..na tunawaona...
 
polisi Ccm mm cna ham nao siku 1 nilikuwa nasafiri kwenda china sijui ikatokea nn pale Airport tukapelekwa central kukaguliwa mbona titi na papuchi yangu vilikoma full kupekuliwa na kushikwa shikwa. Sasa wamekutana na Mwanasheria ngoja huyo polisi aisome namba
Hamna kesi hapo wanachokisubir ni aibu kesi itakapotupiliwa mbali pamoja lundo la mawakili wao
 
Sijui kwa nini vilaza wale hawakupeleka maWP kumshikashika mama mwenzao? mbali na kumshikashika na ''kumtengua bega'', kumtoa ''afisa wa mahakama'' kwenye eneo lake la kazi na ''kumzuia kutimiza wajibu wake'' kwa style ile ni kosa la jinai🙂
Ni kweli wakili kwa mujibu wa sheria, ni afisa wa mahakama. lakin unaposema alizuiwa kufanya kazi yake unakosea. kwa sababu wajibu wake aliutimiza salama ndani ya mahakama na akatoka nje ya mahakama. alizuiwa kufanya press conference katika viunga vya mahakama na kuamuliwa akafanyie hiyo press conf ofisini kwake. Au unataka kutuambia kwamba anayo haki wa kufanya pree conf isiyorasmi nje ya mahakamana kuadhiri shughuli za mahakama zinazoendelea ndani??? siamini kama haki hiyo anayo.

either, police walitakiwa kumwondoa katika viunga vya mahakama kadri wao walivyoona kwamba haikuwa salama kufanya press conf pale wakati shughuli za mahakama zinaendelea ndani, bila kumdhuru.

atatakiwa kuprove beyond reasonable doubt, kwa tumumia ushahidi wa kitabibu, kwamba amedhulika mwili wake kutokana na kitendo hicho. na hii inabidi itoke sio hospitali za vichochoroni. oteherwise, anatafuta kick tu ili baadae apewe kazi kubwa za uwakili na pengine labda anajiandaa kuingia kwenye siasa.
 
Huyu mama bila shaka atakuwa ametumwa na baba ake na wana ccm wa visiwani na huku bara kwa kazi maharumu ya kumchunguza lisu na wana chadema .inshu hivi huyu Dada hapo nyuma baba ake alikuwa raisi bila shaka aliona jinsi baba ake jinsi alivyotawala na yy pia kasomeshwa na pesa ya ccm na kara bata ikulu kipindi icho OK nisiongee sana ila huyu Dada ni shushu onyo chadema wasijiongeze wakamuwamini​
 
Polisi waache chuki za kisiasa zilizopitiliza, mahakama ni ofisi ya wakili, na wakili anapomaliza kesi moja anaweza kuwa na kesi nyingine ya kuihudumia hapohapo hivyo kumfukuza eneo la mahakama ni kutoelewa kazi za wakili na hii inatokana na uadui waalioujenga kati yao na Lissu kiasi cha kumchukulia wakili Karume naye ni sehemu ya mhalifu! Suala hili si la kisiasa ni la kiuongozi hivyo wapiga domo kaeni pembeni kwa muda.
 
Kwa hali hii inaonyesha vijana wa kitanzania na wasomi mmekosa vya kufanya kesi kama hiyo mawakili 29 na inaonyesha ni jinsi gani kuwa mawakili hawajiamini na usomi wao. Wasilete kisingizio cha mshikamano bali ni kutokujiamini

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa upande wangu, kama mawakili wangekuwa hawajiamini hata wakili mmoja asingejitokeza. The fact kwamba wanajiamini ndiyo maana wamejitokeza mawakili 29. Mind you, hawakufanya mkutano na kujichagua, kila mmoja wao aliguswa na jambo lenyewe kwa namna alivyoguswa na hao walioguswa na wana nafasi ya kumwakilisha mahakamani wakajikuta wameshafikia 29.
 
9e0f6d3119c4f8d73e538ed1103ada3e.jpg


Huyu naye atetewe bilioni tatu ni reasonable kashikwa na polisi watatu. Siku hizi ndoa za jinsia zipo hivyo si ishu kuwa kashikwa na wanaume wenzie.
 
Na huyo askari naye asife kikondoo. Ni kuwapiga na counter sue la bilioni tisa kwa kumuharibia jina na usumbufu.

Mawakili wa serikali mko wapi?
 
"Cops shouldn't be allowed to touch you unless you are committing a crime. However, they may be able to articulate reasonable suspicion of criminal activity based on perhaps public nuisance laws, disturbing the peace etc... ... Most cops are not going to tolerate much mockery, whether they are right or not.Jan 1, 2015
458fc2d4aac32946b1323b7385d605e4.jpg


Hawa hawakushtakiwa.
 
Another silly political gimmick and west of time. If TLS is seriously about justices they should help people who real need advocates services not pretending to help Lady Karume whos family is great beneficially of CCM to mention accusation of Prison Island in Zanzibar, grabbing Anglican Land and her family tour company employing foreign without following migration process. WANASHERIA ACHENI UNAFIKI HIVI DEEP GREEN SCANDAL NA IMMA ADVOCATES WALIKUWA PAMOJA LEO WAMEKUWA MALAIKA KWELI MUNGU KUTUPA KIPAJI CHA UNAFIKI NCHI HII
 
Mkuu huyu binti kituko ... hivi alifanikiwa kugrabb lile eneo pale, Duh ! kuishi kwingi kuona mengi yani hadi maeneo ya Kanisa hawa watu waliyafikia.
 
Kwani alishikwa wapi? Yaani alishikwa kwenye nini yake?
 
Rais wa chama cha wanasheria nchini na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ataongoza jopo la mawakili 29 watakaomtetea Wakili Fatma Karume Katika Kesi Yake Ya Kushikwa Mwili Wake Bila Ya Ridhaa, Kuvutwa Kwa Nguvu Na Kusababishiwa Madhara Katika Bega Lake.

Katika Kesi Hiyo Iliyofunguliwa Mahakama Kuu Ya Tanzania, Bi.Fatma Anamdai Fidia Ya Shilingi Bilioni Moja, Inspekta Eugen Mwampondela Wa Kituo Kikuu Cha Polisi DSM. Fatma Karume amshtaki Polisi aliyemzonga Mahakamani, adai fidia ya bilioni moja

Kesi Itakapoanza Kusikilizwa, Mtuhumiwa Atatakiwa Kuwepo Kizambani Kujieleza Na Kujibu Maswali.

My Take
Cross Examination za Tundu Lissu hazijawahi kumuacha askari salama
Siku ya kesi polisi wawakamate mawakili wote 29 na kuwasweka ndani na uchochezi
 
Back
Top Bottom