Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

Hiyo ni lifestyle yake, ana uhuru wa kufanya atakayo. Kwenye profession anaingia kama professional, anafuata vigezo maadili na masharti.
Kwenye uhasibu any practice which will disrepute the profession jamaa wa NBAA hawakuachi salama i.e from your lifestyle mpk professional ethics.Unadhani ile video ya Msando anakatikiwa na Gigy Money kama Msando angekua Certified Accountant angebaki salama,HELL NO Nbaa isingemuacha salama.So habari za maadili,sijui miiko huko kwa Wanasheria naona hua haiko serious tu.
 
Miiko iko vizuri sana tu. Uzuri wa tasnia ya sheria hakuna mtu atakuingilia kwenye maisha yako binafsi.
 
Na unaona hio ni ufahari?
Ni ufahari sana tu. mambo ya kazi ninapoyaacha nimeyaacha, mambo ya maisha yangu binafsi nikiwa nje ya ofisi ni maisha yangu. Huoni huo ni uhuru?
 
Mawakili wanajitokeza kuonesha mshikamano wao.

Polisi wafanye kazi zao kwa kuelewa mipaka ya kazi zao.

Polisi si chombo cha kudhalilisha raia. Ikiwa mwanasheria, tena maarufu mwenye jina kubwa nchini na nje ya nchi, anafanyiwa hivyo jee wenzangu na mie?
Ni jambo la muhimu kuonyesha msimamo na mshikamano katika maswala nyeti haswa ya mipaka ya mamlaka ya serikali na vyombo vyake.
Hata majaji wa Uganda wameweka msimamo mkali dhidi ya serikali ya Museveni hivi karibuni.
Ila kimaadili, swala la Lissu kumwakilisha Fatma kwenye kesi yake ya madai dhidi ya huyu askari itamweka Lissu mahali pagumu kwenye mambo kadhaa ya kimaadili.
Inaweza 'kumfunga mikono' na kupunguza ufanisi wa kesi yenyewe kwa kiwango flani.
 
Kuna sheria zake za kukamatwa kiisawasawa mkuu
Kwa mfano upigwe dole utajiskiaje? au kwakua ni polisi basi itabidi uwe mpole au[emoji3]
We kauka tu tuone hili movie linaendeleaje[emoji3]
Si jambo zuri lakini limejikuta nacheka..
Kweli kila kitu kina taratibu zake na mipaka yake.
 
Rais wa chama cha wanasheria nchini na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ataongoza jopo la mawakili 29 watakaomtetea Wakili Fatma Karume Katika Kesi Yake Ya Kushikwa Mwili Wake Bila Ya Ridhaa, Kuvutwa Kwa Nguvu Na Kusababishiwa Madhara Katika Bega Lake.

Katika Kesi Hiyo Iliyofunguliwa Mahakama Kuu Ya Tanzania, Bi.Fatma Anamdai Fidia Ya Shilingi Bilioni Moja, Inspekta Eugen Mwampondela Wa Kituo Kikuu Cha Polisi DSM. Fatma Karume amshtaki Polisi aliyemzonga Mahakamani, adai fidia ya bilioni moja

Kesi Itakapoanza Kusikilizwa, Mtuhumiwa Atatakiwa Kuwepo Kizambani Kujieleza Na Kujibu Maswali.

My Take
Cross Examination za Tundu Lissu hazijawahi kumuacha askari salama
Ashike adabu yeye na waliomtuma
 
Abuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
hiyo Kuwakamata ile kisawasawa, maana yake ni kumkamata mtu kwa mujibu wa sheria. kwa mujibu wa sheria, polisi haruhusiwi kumdhuru mtu, kumtesa, kabla, wakati , na hata baada ya hukumu yake mahakamani. mtu atatendewa kadiri ya hukumu aliyohukumiwa na adhabu aliyoadhibiwa, siyo zaidi siyo pungufu. ule msemo wa unauliza makofi polisi, ni katika mazingira ya kukosa haki, na kwa wasiojua sheria. umefika wakati Polisi wawajibike kwa vitendo vyao vya uvunjaji wa sheria. huko ndiko kunaitwa KUTIWA ADABU. Huyo askari kama hakufunzwa na mama yake, basi leo atafunzwa na FATUMA
 
Siku hizi chadema makao makuu yamehama kutoka ufipa mpaka kwenye viwanja vya mahakama kila nikijaribu kumzoom Lissu namuona kama harmorapa wa kwenye siasa ambae yupo radhi kujitoa ufahamu na kuzivua nguo akili zake kwa ajili ya kukaa front page kwenye magazeti

Hata siku moja sito mshauri ndugu yangu asome sheria kama wanasheria wanaitwa wasomi ni aina ya Lissu
Asomee uccm basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asomee uccm basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora hata akasomee uccm kuliko sheria ambapo wanasheria wote Tanganyika wanaongozwa na Lissu ambae kwangu sijawai kumwona mtu makini zaidi ya mpiga makelele tu hv leo mtu kushikwa bega wanasheria 29 je angeshkwa vingne ingekuwaje???? inaonekana fani ya sheria vilaza ni weng sana wasioweza kujua uzito na umuhimu wa kesi
 
polisi Ccm mm cna ham nao siku 1 nilikuwa nasafiri kwenda china sijui ikatokea nn pale Airport tukapelekwa central kukaguliwa mbona titi na papuchi yangu vilikoma full kupekuliwa na kushikwa shikwa. Sasa wamekutana na Mwanasheria ngoja huyo polisi aisome namba
 
Rais wa chama cha wanasheria nchini na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ataongoza jopo la mawakili 29 watakaomtetea Wakili Fatma Karume Katika Kesi Yake Ya Kushikwa Mwili Wake Bila Ya Ridhaa, Kuvutwa Kwa Nguvu Na Kusababishiwa Madhara Katika Bega Lake.

Katika Kesi Hiyo Iliyofunguliwa Mahakama Kuu Ya Tanzania, Bi.Fatma Anamdai Fidia Ya Shilingi Bilioni Moja, Inspekta Eugen Mwampondela Wa Kituo Kikuu Cha Polisi DSM. Fatma Karume amshtaki Polisi aliyemzonga Mahakamani, adai fidia ya bilioni moja

Kesi Itakapoanza Kusikilizwa, Mtuhumiwa Atatakiwa Kuwepo Kizambani Kujieleza Na Kujibu Maswali.

My Take
Cross Examination za Tundu Lissu hazijawahi kumuacha askari salama
Nikisema sehemu kubwa ya watanzania wanapenda kuishi na kusikiliza matukio. Kweli hawa mawakili wasomi wanapoteza muda wao kwa kesi ya kijinga kama hii. Wengine wameshasema huyu mama anafaa kuwa Rais wa Zanzibar. Kweli nimeamini kuwa watu wanajua kutafuta Kiki.
 
Rais wa chama cha wanasheria nchini na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ataongoza jopo la mawakili 29 watakaomtetea Wakili Fatma Karume Katika Kesi Yake Ya Kushikwa Mwili Wake Bila Ya Ridhaa, Kuvutwa Kwa Nguvu Na Kusababishiwa Madhara Katika Bega Lake.

Katika Kesi Hiyo Iliyofunguliwa Mahakama Kuu Ya Tanzania, Bi.Fatma Anamdai Fidia Ya Shilingi Bilioni Moja, Inspekta Eugen Mwampondela Wa Kituo Kikuu Cha Polisi DSM. Fatma Karume amshtaki Polisi aliyemzonga Mahakamani, adai fidia ya bilioni moja

Kesi Itakapoanza Kusikilizwa, Mtuhumiwa Atatakiwa Kuwepo Kizambani Kujieleza Na Kujibu Maswali.

My Take
Cross Examination za Tundu Lissu hazijawahi kumuacha askari salama

ndio walichobakiza sasa, ikulu hakuendeki kirahisi

natamani 29 wangekuwa wanapigania tume huru ya uchaguzi
 
Kwa hali hii inaonyesha vijana wa kitanzania na wasomi mmekosa vya kufanya kesi kama hiyo mawakili 29 na inaonyesha ni jinsi gani kuwa mawakili hawajiamini na usomi wao. Wasilete kisingizio cha mshikamano bali ni kutokujiamini

Sent using Jamii Forums mobile app

Lengo ni kutoa funzo....
 
Back
Top Bottom