Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ccm kwanini mnawatesa masikini ??
kwanini hamsikilizi kesi za wanyonge ??
hahahahaha akikujibu nitag mkuuccm kwanini mnawatesa masikini ??
kwanini hamsikilizi kesi za wanyonge ??
Wewe unaelewa maana ya solidarity? Unaelewa kama Fatuma Karume ni mwanachama wa TLS? Unazijuwa haki za mwamachama wa TLS?Kama TLS inajtiolea kwenda kumtetea mtu ambaye tayari ni privileged, Fatuma Karume ni bilionea na ni mtoto wa Raisi hiyo peke yake inampa kinga kwa namna moja au nyingine!
Sasa kwa nini kama tls msiwekeze hizo nguvu kutetea Watanzania wengi wanaosota Rumande miaka na miaka bila ya kufikishwa Mahakamani?
Isitoshe Tundu Lisu keshakutana nao wengi huko, Fatuma Karume hawezi kulala Sero achilia mbali hata kukamatwa tu, ...
Mkuu, hawa mawakili kuliko kujazana 'kutetea' kesi moja tena kwa mtu mwenye uwezo wa kujitetea mwenyewe kwanini wasiende kuwatetea hao wanyonge unaowasema?ccm kwanini mnawatesa masikini ??
kwanini hamsikilizi kesi za wanyonge ??
Albert Msando ni wakili mzoefu tu lkn unaonaga lifestyle yake au hata humjui?Mkuu, TLS hawahusiki na utetezi wa kesi hizi mahakamani. Hao wanaojitokeza ni kihereher chao tu cha kutaka umaarufu kisiasa na kibiashara. Soko la uwakili ni gumu sana, na ukizingatia taaluma ya uwakili hairuhusu matangazo ya kibiashara, sasa kumeibuka na aina ya mawakili wasiojiamini katika kazi zao kushadadia kesi zenye umaarufu kwenye umma au za watu maarufu, tena bila malipo kabisa. Wakiambiwa kutetea maskini wanakataa na hawafanyi hivyo mpaka walazimishwe kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa.
Wanaenda hadi mahakamani kuuza sura na ukiwauliza wanachotetea sidhani hata wanakifahamu, zaidi ya kutafuta kiki na kuwapa kiki 'wateja wao' feki.
Kwa kifupi tasnia ya sheria imevamiwa na wanasheria uchwara wanaoingiza siasa kwenye taaluma ya sheria. Wengi ya hawa wanasheria ni walio katika siasa au wanaotamani kuingia katika siasa, na pia wanasheria wapya/wachanga ambao hawajui hata miiko na maadili ya taaluma yao. Mawakili wazoefu na wanaojiamini hawafanyi ujinga kama huu.
.Wewe Kilaza unaelewa maana ya solidarity? Unaelewa kama Fatuma Karume ni mwanachama wa TLS? Unazijuwa haki za mwamachama wa TLS?
Je unajuwa ni kwa nini Tundu Lisu ni wakili mahiri lakini anatetewa na jopo la mawakili 18? Nenda kwa madaktari uone daktari mwenzao akiwa anaumwa serious hutibiwa na jopo la madaktari wangapi.
Hivi ukiwa liccm akili huwa zinajaa mafunza?
Kama TLS inajtiolea kwenda kumtetea mtu ambaye tayari ni privileged, Fatuma Karume ni bilionea na ni mtoto wa Raisi hiyo peke yake inampa kinga kwa namna moja au nyingine!
Sasa kwa nini kama tls msiwekeze hizo nguvu kutetea Watanzania wengi wanaosota Rumande miaka na miaka bila ya kufikishwa Mahakamani?
Isitoshe Tundu Lisu keshakutana nao wengi huko, Fatuma Karume hawezi kulala Jela achilia mbali hata kukamatwa tu, ...
Hiyo ni lifestyle yake, ana uhuru wa kufanya atakayo. Kwenye profession anaingia kama professional, anafuata vigezo maadili na masharti.Albert Msando ni wakili mzoefu tu lkn unaonaga lifestyle yake au hata humjui?
Kwani Fatma Karume kapata kesi ??.
Kiongozi usikurupuke. unataka kutuambia hao mawakili wametumwa na TLS? Huijui TLS wewe, iache kama ilivyo. kwa taarifa yako TLS haina utaratibu wa kumtetea mahakamani mwanachama wake pindi anapopata kesi.
Ndio amshikeshike matiti?Alikuwa anamlinda Fatma dhidi ya kitisho cha kudhuriwa na Wananchi Wenye hasira
miccm ndio umejibu swali ??Mkuu, hawa mawakili kuliko kujazana 'kutetea' kesi moja tena kwa mtu mwenye uwezo wa kujitetea mwenyewe kwanini wasiende kuwatetea hao wanyonge unaowasema?
Kazi ya kuwapa mawakili wa utetezi watu wasiokuwa na uwezo huo ni jukumu la serikali.Mkuu, hawa mawakili kuliko kujazana 'kutetea' kesi moja tena kwa mtu mwenye uwezo wa kujitetea mwenyewe kwanini wasiende kuwatetea hao wanyonge unaowasema?
Ulitaja jina la mtu wa kujibu swali lako?miccm ndio umejibu swali ??