FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mawakili wanajitokeza kuonesha mshikamano wao.Kwa hali hii inaonyesha vijana wa kitanzania na wasomi mmekosa vya kufanya kesi kama hiyo mawakili 29 na inaonyesha ni jinsi gani kuwa mawakili hawajiamini na usomi wao. Wasilete kisingizio cha mshikamano bali ni kutokujiamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi wafanye kazi zao kwa kuelewa mipaka ya kazi zao.
Polisi si chombo cha kudhalilisha raia. Ikiwa mwanasheria, tena maarufu mwenye jina kubwa nchini na nje ya nchi, anafanyiwa hivyo jee wenzangu na mie?