Wakusini
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 805
- 609
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto, hii nchi inaendeshwa kwa misingi ya kisheria,sheria zetu hazikuacha kitu cha kujiamulia tu..unaweza kujiamulia tu lini ulale na mke wako na lini usi.. Ila sio kukamata watu!Abuse of proffession....Hivi polisi wakiamua kuwakamata ile kisawasawa watakuwa wazima kweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]niongezewe hapo kwenye list nitakuwa wakili wa 30 sitadai hata senti tano.
Hii part 2 mkuu
Polisi wanaruhusiwa kutumia reasonable force kwa mtu ye yote anayekaidi kutii amri halali aliyopewa na jeshi. Hiyo ya kumshika shika huyo Fatuma was a very reasonable force. Wangeweza kutumia even more force kama kumwagia maji ya washa washa na bado ingekuwa still reasonable force.Kesi mbaya kwa wanaopenda kushikashoka maungo ya watu aka dungadunga au polisi ccm wanapenda udhalilishaji wa kijinsia unashika mwanamke utafikiri maimuna wa kimboka lazima ukutane na gharika
Akifanya hivyo atakuwa kajimaliza kwani watanzania watazidi kukosa imani na mahakama na jaji atadharaulika pia kwenye mitandao na vyombo vya habari vitamtangaza kila kona
Alikaidi Amri gani? yy alikuwa mahakamani polisi kwa kutaka sifa wakaamua kumfukuza huku wakimwamuru apande kwenye gari aondoke wakati alikuwa hajamaliza kazi zake.Polisi wanaruhusiwa kutumia reasonable force kwa mtu ye yote anayekaidi kutii amri halali aliyopewa na jeshi. Hiyo ya kumshika shika huyo Fatuma was a very reasonable force. Wangeweza kutumia even more force kama kumwagia maji ya washa washa na bado ingekuwa still reasonable force.
Wengi hawana vyeti hufanya kazi kwa kujipendekeza wakiogopa kukagukiwa vyeti CV zaoPolis wetu wanatumika kama kondom,baada ya kutumia hutupwa.
TTLS sasa inatumika kupambana na serikali. Polisi wale walitumia a very reasonable force kumwondoa Fatuma pale kwenye viungo vya mahakama ya Kisutu alipotaka kufanyia press conference yake yenye mwelekeo wa uanaharakati wa kisiasa. Alipewa amri na polisi ya maneno kutofanya press na kuondoka sehemu ile akakaidi. Ikabidi polisi kadhaa wakamuondoe pale kwa nguvu waliyopewa kwa mjibu wa sheria kwa wanaokaidi amri ya jeshi. Polisi wale wakamzonga na kumlazimisha aingie kwenye gari. Nguvu iliyotumika kumlazimisha kuingia kwenye gari ilikuwa ya kawaida tu na infact ilikuwa ndogo kuliko ile waliyoitumia kumlazimisha Lissu kuingia kwenye gari lake na kumwondoa pale kwenye viwanja vya bunge.Rais wa chama cha wanasheria nchini na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ataongoza jopo la mawakili 29 watakaomtetea Wakili Fatma Karume Katika Kesi Yake Ya Kushikwa Mwili Wake Bila Ya Ridhaa, Kuvutwa Kwa Nguvu Na Kusababishiwa Madhara Katika Bega Lake.
Katika Kesi Hiyo Iliyofunguliwa Mahakama Kuu Ya Tanzania, Bi.Fatma Anamdai Fidia Ya Shilingi Bilioni Moja, Inspekta Eugen Mwampondela Wa Kituo Kikuu Cha Polisi DSM. Fatma Karume amshtaki Polisi aliyemzonga Mahakamani, adai fidia ya bilioni moja
Kesi Itakapoanza Kusikilizwa, Mtuhumiwa Atatakiwa Kuwepo Kizambani Kujieleza Na Kujibu Maswali.
My Take
Cross Examination za Tundu Lissu hazijawahi kumuacha askari salama
Acha hizo acha mikwara na propaganda zenu, yaani kumshitaki polisi mmoja aliyevunja sheria ni kupambana na Serikali? nguvu waliyopewa polisi kwa mjibu wa sheria ni pale inapotokea fujo kubwa si visingizio vya mahakamani kisutu eti kulikuwa na uarakati, polisiccm kwenda kibiti wanaogopa sana na hata waliopo huko wanaishi kwa uoga lakini wakisikia Lisu wanajazana mahakamani utadhani ni mkapa na Kikwete wamevuliwa kinga na kufikishwa mahakamani kwa makosa mbalimbaliTTLS sasa inatumika kupambana na serikali. Polisi wale walitumia a very reasonable force kumwondoa Fatuma pale kwenye viungo vya mahakama ya Kisutu alipotaka kufanyia press conference yake yenye mwelekeo wa uanaharakati wa kisiasa. Alipewa amri na polisi ya maneno kutofanya press na kuondoka sehemu ile akakaidi. Ikabidi polisi kadhaa wakamuondoe pale kwa nguvu waliyopewa kwa mjibu wa sheria kwa wanaokaidi amri ya jeshi. Polisi wale wakamzonga na kumlazimisha aingie kwenye gari. Nguvu iliyotumika kumlazimisha kuingia kwenye gari ilikuwa ya kawaida tu na infact ilikuwa ndogo kuliko ile waliyoitumia kumlazimisha Lissu kuingia kwenye gari lake na kumwondoa pale kwenye viwanja vya bunge.
Kwa hali hii inaonyesha vijana wa kitanzania na wasomi mmekosa vya kufanya kesi kama hiyo mawakili 29 na inaonyesha ni jinsi gani kuwa mawakili hawajiamini na usomi wao. Wasilete kisingizio cha mshikamano bali ni kutokujiamini
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna kitu kama hiko, ni viherehere vyao tu, wanaleta siasa katika taaluma ya sheria. Ni hatari sanaJAMANI NAOMBA KUJUZWA IVI MWAKILI WOTE HAO NI LAZIMA KILA MMOJA ATOE HOJA ZAKE WANAPOKUWA MAHAKANI ?
Acha upotoshaji. Hukumu gani inasomwa na majaji zaidi ya mmoja?Mbona kuna hukumu zinasomwa na majaji watatu mpaka watano, hapo unasemaje?