Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

Siku hizi chadema makao makuu yamehama kutoka ufipa mpaka kwenye viwanja vya mahakama kila nikijaribu kumzoom Lissu namuona kama harmorapa wa kwenye siasa ambae yupo radhi kujitoa ufahamu na kuzivua nguo akili zake kwa ajili ya kukaa front page kwenye magazeti

Hata siku moja sito mshauri ndugu yangu asome sheria kama wanasheria wanaitwa wasomi ni aina ya Lissu
Omo kilo 50 Maji boozer 10

sent from my BBC using JamiiForums mobile app
 
Rais wa chama cha wanasheria nchini na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ataongoza jopo la mawakili 29 watakaomtetea Wakili Fatma Karume Katika Kesi Yake Ya Kushikwa Mwili Wake Bila Ya Ridhaa, Kuvutwa Kwa Nguvu Na Kusababishiwa Madhara Katika Bega Lake.

Katika Kesi Hiyo Iliyofunguliwa Mahakama Kuu Ya Tanzania, Bi.Fatma Anamdai Fidia Ya Shilingi Bilioni Moja, Inspekta Eugen Mwampondela Wa Kituo Kikuu Cha Polisi DSM. Fatma Karume amshtaki Polisi aliyemzonga Mahakamani, adai fidia ya bilioni moja

Kesi Itakapoanza Kusikilizwa, Mtuhumiwa Atatakiwa Kuwepo Kizambani Kujieleza Na Kujibu Maswali.

My Take
Cross Examination za Tundu Lissu hazijawahi kumuacha askari salama
Jibu ni fupi na dogo sana; Mahakamani sio sehemu ya kufanya mikutano ya aina yoyote ile, kelele za aina yoyote hazitakiwi
 
hao mawakili wapigane hii kesi irushwe live na sie ma bush lawyer tupate vi techniques vya kutambia mjini

maana tusha nyanyaswa sana, ni muda wa kutamba na sie
hahahahahahah nimecheka sana umenikumbusha bush lawyer mmoja kwenye ugomvi wa vitalu vya migodi
 
Rais wa chama cha wanasheria nchini na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ataongoza jopo la mawakili 29 watakaomtetea Wakili Fatma Karume Katika Kesi Yake Ya Kushikwa Mwili Wake Bila Ya Ridhaa, Kuvutwa Kwa Nguvu Na Kusababishiwa Madhara Katika Bega Lake.

Katika Kesi Hiyo Iliyofunguliwa Mahakama Kuu Ya Tanzania, Bi.Fatma Anamdai Fidia Ya Shilingi Bilioni Moja, Inspekta Eugen Mwampondela Wa Kituo Kikuu Cha Polisi DSM. Fatma Karume amshtaki Polisi aliyemzonga Mahakamani, adai fidia ya bilioni moja

Kesi Itakapoanza Kusikilizwa, Mtuhumiwa Atatakiwa Kuwepo Kizambani Kujieleza Na Kujibu Maswali.

My Take
Cross Examination za Tundu Lissu hazijawahi kumuacha askari salama

OKW kuna unachosubiri kushangilia kweli!! Sawa, karibu!!!
 
Kumbe hii ndio kazi ya chama cha wanasheria nchini....!!! TLS.. chini ya rais wake huyu L.ok..!!
 
Bilioni duu,halafu tokea namjua Lissu yeye ni Kesi tu.
Lisu kanifungua macho,kanifanya nimejua sheria,kanifanya mimi kujua hakizangu hata kama sijaenda mahakamani.
Lakini ukumbuke kua Lisu ni mwanasheria ndio maana toka umfahamu ni ni kesi tu.
Kapasue hata chungu cha mke wake au cha mama yake uone kama hautalipa sufuria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka huu kama hatutapata degree za sheria wote basi tena. Na mapolisccm mkome kujifanya hamnazo saana. Mimi nataka huyo polisi sheria nayo imkamate makalio yake.
 
Sijui kwa nini vilaza wale hawakupeleka maWP kumshikashika mama mwenzao? mbali na kumshikashika na ''kumtengua bega'', kumtoa ''afisa wa mahakama'' kwenye eneo lake la kazi na ''kumzuia kutimiza wajibu wake'' kwa style ile ni kosa la jinai🙂
Watakwambia hapakuwepo na wp

In God we trust
 
Duh, "abuse of proffession"??????????

Elimu zenu watu wa lumumba mnazijua wenyewe

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

In God we trust
 
Hapakuwa na sababu polisi kuhamaki na kumshika mtu ambaye hafanyi kosa kisheria.Pamoja na kuwa hawezi kulipa ,ila kuna funzo tutapata.Kila la kheri Fatma
Litakuwa fundisho kubwa sana maana wamezoea kutenda mambo kimazoea

In God we trust
 
Back
Top Bottom