Dragoon
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 7,012
- 8,139
Wewe hujui chochote. Kwa vile ni kazi ya serikai unadhani waziri au mwanasheria mkuu ndio anaenda kuwatetea? ua unadhani wanatetewa na mawakili au wanasheria wa serikali? Serikali inachofanya ni kuchagua mawakili miongoni mwa mawakili hawahawa, hata huyo Lissu, Karume na Kibatala na wengine wamepewa hizi kesi mara nyingi tu.Kazi ya kuwapa mawakili wa utetezi watu wasiokuwa na uwezo huo ni jukumu la serikali.
Sio kosa lako ni kwa sababu huna exposure hujawahi kutoka nje ya Tanganyika, pole.
Nikukuambia kuwa hawa mawakili wako huwa wanazikacha hizi kesi utasemaje? kwa taarifa yako wanazikacha sana tu, na inafikia hadi hatua wanachukuliwa hatua za kinidhamu.