Kuna kitu hapa kikizungumzwa wote mtakaa kimya coz either mnajitoa ufahamu na kujitia uchizi msiokuwa nao au hamjui hivyo mnajikuta mnaandika kishabiki zaidi.
Si vizuri kufurahia madhira ya mwenzio lakini sio vizuri vilevile kutumia madhira hayohayo kuwatia wengine ubaya.
Utaratibu mzima wa kumsafirisha TL kwenda Nairobi ulikiukwa na haukufuata sheria. Ulikuwa wakisiasa kwa dhana kwamba akienda M'mbili wabaya wake watammalizia. Rufaa iliyotakiwa ilibidi wampeleke muhimbili, kwa ubishi wa mbowe wakampeleka nairobi tofauti na utaratibu wa bunge kwamba muhimbili wakishindwa ndio bunge linagharamikia matibabu nje ya nchi.
So msifikiri bunge na serikali wamekaa kimya kwa stori zenu za mtaani mkajua hawana majibu au hawajui wanachokifanya.
Km mnakumbuka jpm alimwambia shein kwanini anamsainia maalim seif check zake za matibabu wakati hata salama hataki kupokea.
Sasa huku jeuri kakutana na kiburi/ makusudi .
Aende tu mahakamani ili vituko viendelee tuchangamke kidogo tupate cha kujadili.
..mambo ya ruhusa ya muhimbili yaweke kando kwanza.
..kuna posho ya mbunge aliyeko kwenye matibabu, pamoja na posho ya anayemuuguza.
..TL amesema bunge halijampatia posho hizo.
..zaidi, suala la matibabu ya Maalim Seif ni tofauti na matibabu ya Tundu Lissu.
..Maalim Seif anahudumiwa kwa mujibu wa sheria ya mafao ya viongozi wakuu wastaafu wa SMZ.
..Tundu Lissu masuala yake ni kwa mujibu wa sheria ya mafao na huduma za wabunge.