www19
Senior Member
- Apr 29, 2020
- 140
- 205
hahah! tutakuaminije?hakuna cha risiti wala maelezo ya kueleweka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahah! tutakuaminije?hakuna cha risiti wala maelezo ya kueleweka.
huna hata haja ya kuniamini.hahah! tutakuaminije?
.pole sana kiongoziMwaka jana mi nimekwenda Muhimbili mke alikua na changamoto kwenye uzazi wamemfanyia operesheni pale mtoto alikua ashafia tumboni, baada ya siku tatu napewa bill ya 2mil nikasema kama hapa ni National Hospital na mtu hana uwezo itakuaje. Ilibidi niparue akiba yangu niwalipe. Wanakwambia usipolipa leo kesho bill ya kulala inaongezeka.
Kitu kilinitatiza dressing ya kidonda walipompasua kwa siku niliona wameandika 50,000 nikasema yani eusol na Spirit na pamba na gloves wanatumia nyingi kiasi gani.
By the way serikali inatakiwa iangalie upya gharama za matibabu sio rafiki kivile kwa mtu asiye na bima.
TUSILALAMIKE TUNAPOLIPIA SASAå Sijajua kwanini baadhi ya watu wanabisha kuwa huduma ya matibabu katika hospitali za umma ni za BURE na kamwe siyo ZA KULIPIA....
å Sijajua ni kwanini baadhi ya watu wasio na facts wanabisha kuwa elimu ya Msingi na Sekondari Tanzania siyo BURE bali bado wazazi WALIPIA....!
å Tuite jina lolote lile aidha TOZO au KUCHANGIA GHARAMA nk nk lakini ukweli unabaki kuwa, HAKUNA HUDUMA ya ELIMU wala AFYA inayotolewa bure hapa Tanzania....
å Mtu yeyote anayebishia, aende katika hospitali yoyote ya umma akajionee. Tozo ama gharama unaanza kupambana nazo immediately ufikapo mapokezi...
å Kuna hospitali au vituo vya afya ama zahanati kabla ya kuruhusiwa kumwona daktari, lazima ulipe kati ya Tshs. 5,000 na 10,000.... Hii ni nini kama siyo tozo za matibabu?
Tuwe honest, hakuna cha bure tusidanganyane...
Wapi huko?Ni kweli kabisa Mzazi akijifungua mtoto wa kiume anatozwa Tsh. 50,000
Na akijifungua mtoto wa kike anatozwa Tsh. 30,000
anasema et sumbawangaWapi huko?
Kwa nini usiende shule ukajifunza kuandika kabla ya comment? Sela =SeraLissu hana cha kuahidi, Magu kashafanya vyote! Ana bwabwaja tu hana sela
Watakae mpa huyu jamaa kura,watakuwa hawako Sawa kichwani.Kwa Sera gani alizonazo, maana kila mkutano ni kulalamika tu. Hatutaki taifa tegemezi, omba omba na lalamishi hapa. Tunataka taifa lenye kujitegemea kwa kupiga kazi tu.Lissu hana cha kuahidi, Magu kashafanya vyote! Ana bwabwaja tu hana sela
Kaanza lini kuhurumia wakina mama?. Saccos yao inaongoza kwa kuwazalilisha wamama zetu, ndio wapate nafasi kwenye uongozi chama.Mpaka mfichwe chini ya sketi ndio viti maalum vitoke shame on you. Watanzania, Oct tusifanye makosa.Lissu akiwa Sumbawanga kadai kuwa wakina mama wajawazito wanatozwa tozo mahospitalini pindi wanapojifungua.
Kuwa mama akijifungua mtoto wakiume anatozwa tozo kubwa kuliko aliejifungua mtoto wa kike. Je, nikweli juu yahaya ndugu zangu CCM, au Lissu anadanganya?
Je, kama nikweli, kwanini tozo zitofautiane juu ya mtoto wakiume na kike? Je, hii ipo kisheria? Au Kuna baadhi ya hospital zinamuhujumu raisi wetu mpendwa JPM?
Kama muheshimiwa raisi anatoa elimu bure, kwa nini asiruhusu wajawazito waachwe kutozwa tozo mara wanapojifungua? Maana anahimiza tufyatue watoto kwa wingi zaidi.
Nataka nifahamu ukweki juu yahili, kama nikweli Serikali imeweka tozo mpaka kwa wajawazito, na kama tozo hizo zinatozwa tofauti kwa mtoto wakike na kiume, kama kuna ukweli wowote.
Bima ya afya kwa kila mwananchi za bei nafuu ndio suluhisho, itaondoa ukilitimba wote wa tozo za hospitalini.
Kama Magu keshafanya yote basi nae ana bwabwaja tu (LoL). Seriously hakuna anaye weza kufanya yote vinginevyo ilani hazina faida.Lissu hana cha kuahidi, Magu kashafanya vyote! Ana bwabwaja tu hana sela
Mkuu mbona mwingine analalamika anatukanwa huku hatuoni matusi.Watakae mpa huyu jamaa kura,watakuwa hawako Sawa kichwani.Kwa Sera gani alizonazo, maana kila mkutano ni kulalamika tu. Hatutaki taifa tegemezi, omba omba na lalamishi hapa. Tunataka taifa lenye kujitegemea kwa kupiga kazi tu.
Labda ni ushuru kam ilivyo pale bandarini.Kwanini CCM mnatoza watu tozo za mimba?
Serikali iweke wazi hizo tozo Sasa. Na wasimame waseme kwa nguvu ileile wanayotumia kudanganywa kuwa kuna elimu bure, wasimame waseme pia kuna tozo za ujauzito.TUSILALAMIKE TUNAPOLIPIA SASA
TOZO zipo kila mwana ccm anafahamu hilo.Tozo hizo kama zipo ni zile zisizo rasmi, huwezi kupewa EFD kwa tozo hizo. Suluhuhisho siyo kukanusha kuwa hazipo, bali kufuatilia na kuwachukulia hatua wahusika, maana Lisu amesikia kutoka kwa akina mama.
haitakua siasa kuzungumzia hayoSerikali iweke wazi hizo tozo Sasa. Na wasimame waseme kwa nguvu ileile wanayotumia kudanganywa kuwa kuna elimu bure, wasimame waseme pia kuna tozo za ujauzito.
Zipo kwenye ilani au mnaokoteza tu??Kuondoa tozo za hospitalini, kuondoa tozo za elfu ishirini kwa machinga, namama zetu wauza genge.
Kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wanaostahili, hata waliosoma privete . Kushusha makato ya heslb mpaka 3%, kuruhusu wananchi wauze mazao yao seheme yenye bei nzuri, kurudisha fao lakujitoa, kuwalipa stahiki zao wastaafu kwa wakati kama wafanyavyo wabunge kulipwa kwa muda mara baada ya miak mitano.
Hizo nibaadhi ya sera za CDM. Lkn hapa simahala pake,hapa tunajadili tozo zahospitalini,wanazotozwa wajawazito kabla ama baada yakujifungia.
Ungesoma ilani ya CDM usingeuliza hilo suali.Zipo kwenye ilani au mnaokoteza tu??