Lissu: Kwanini wananchi hawataki kutusikiliza tena

Mwambie Tundu Lissu naye afanye jinai halafu ashikwe na kuwekwa Segerea. Halafu tumpime akitoka atakuwaje.

Jitu limeharibu MARIDHIANO halafu linataka kuwa Mwenyekiti wa chama??
Jela na risasi kumi na sita kipi ni afadhari ?
 
Wakimbizi kurudi nyumbani ni haki yao wala sio hisani. Baada ya shetani magu kuelekea motoni, waliamua kurudi maana walikimbia kulinda uhai wao na wala sio walifukuzwa.
Nani aliwajibishwa kwa hizo kesi za kubambikiwa?
Mikutano ya kisiasa iko kisheria na sio hisani.
Ruzuku ya cdm ni haki yao, tena ilapaswa kuwa nyingi zaidi ya hiyo. Nani alichukuliwa hatua kwa kudhulumu pesa za watu? Maridhiano yalikuwa ni kupatikana kwa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi je zimepatikana? Na ikiwemo na hatua kali kwa walioshiriki kufanya ukatili chini ya dhalimu magu sio zaidi ya hapo.
 
Umenena vema. Tatizo ni mfumo wa kikandamizaji wa chama dola. Je, kwa nguvu ya mbowe ya sasa na maridhiano kati ya mbowe na samia unadhani kuna uwezekano wowote wa ku-push hoja ya mabadiliko ya mfumo na yatokee? Mimi sioni. Ndo maana kunaimbwa wimbo wa maridhiano lakini kwenye uchaguzi hakuna maridhiano.
 
Endelea kuogopa
 
CCM huwa wanaona kila jambo ni hisani
 
Mbona haya unayoyasema HAMKUYADAI kwa Magufuli?? Magufuli aliwateka, aliwaua, alinyang'anya fedha zenu na wengine akawajeruhi. Mama Samia alipokuja akataka kuponya nchi, mkamuona ni DHAIFU na kutaka kumpanda kichwani.

Kama ni haki ya Katiba mlishindwaje kumdai Magufuli??
 
Mwambie Tundu Lissu naye afanye jinai halafu ashikwe na kuwekwa Segerea. Halafu tumpime akitoka atakuwaje.

Jitu limeharibu MARIDHIANO halafu linataka kuwa Mwenyekiti wa chama??
Inakuaje wanaofanya jinai wanaachiwa?
 
Kwahio wahisi Mbowe kukaa jela miezi 6 na Tundu kupigiwa Risasi zaid ya 17 unaona nani alipata mateso makali?.
Kwani aliyemuokoa Lissu asipelekwe kutibiwa Muhimbili ambako watu wa Magu wangemmmaliza ni nani? Mnowe ndiye alikataa na mipango ya kumpeleka Nairobi ikaamza kufanyika. Ndipo Mbunge Turky (RIP) wa CCM Zanzibar akakodi ndege.

Ni mtu tu ambaye hana mshipa wa shukrani kama Lissu ndiyo anaweza kusahau yote haya kwa ajili ya kugombea UWENYEKITI wa CHADEMA
 
Hamna Bwana !! Wakati wa Magufuli MULIUFYATA, akaja mama Samia mkamchukulia kuwa ni dhaifu. Daaada deeeeki.

Sasa chama chenu kinsambaratika, mnagawana mbao kama CUF ya Lipumba, yote hii ni kwa sababu ya kumshabikia MROPOKAJI Lissu
 
Onyesha mahali Magufuli aliposifiwa kwa huo uovu aliokuwa anaufanya, kama watu walikaa kimya huo utekaji ulikuwa wa nini? Kama watu walikaa kimya alipora uchaguzi ili iweje? Usitake kuonyesha Samia amefanya wema sana kwasababu kipimo chake ni uovu wa Magufuli. Magufuli alikuwa ni kiongozi muovu ma mlevi wa madaraka, lakini hiyo haimaanishi kuwa Samia ni kiongozi mzuri.
 
Mwambie Tundu Lissu naye afanye jinai halafu ashikwe na kuwekwa Segerea. Halafu tumpime akitoka atakuwaje.

Jitu limeharibu MARIDHIANO halafu linataka kuwa Mwenyekiti wa chama??
Yeye alitaka aambiwe kila kitu,mtu mzima lazima ujue kuficha siri,leo hii yeye anaropoka hata siri na kukataa kufuata katiba aliyoshiriki kutunga.Jamaa anajiona wa muhimu sana
 
Maridhiano ya kijinga, huku watu wanatekwa
Mwambie Tundu Lissu naye afanye jinai halafu ashikwe na kuwekwa Segerea. Halafu tumpime akitoka atakuwaje.

Jitu limeharibu MARIDHIANO halafu linataka kuwa Mwenyekiti wa chama??
 
Kama kwenu hakuna mwema kati ya SAMIA na Magufuli badi nyie ni SIKIO la kufa
 
Kama kwenu hakuna mwema kati ya SAMIA na Magufuli badi nyie ni SIKIO la kufa
Samia sio mwema, bali hana tabia za kimagufuli wazi wazi, uchaguzi juzi si imefanyika kilichofanyika enzi za Magifuli. Angechukua hatua dhidi ya waliotenda uovu wakati wa Magufuli huu utetezi wako ungekuwa na maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…