Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Sasa mtu aliyepigwa risasi na moja imebakia mwilini, unategemea atakuwa na akili nzuriUwe unatumia akili basi ata kidogo mtu kapigwa risasi nyingi mwilini ufananishe na alienda maabusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mtu aliyepigwa risasi na moja imebakia mwilini, unategemea atakuwa na akili nzuriUwe unatumia akili basi ata kidogo mtu kapigwa risasi nyingi mwilini ufananishe na alienda maabusu
Kumbe hujanielewa!! Ni mpumbavu peke yake ataona alichokuwa akifanya Magufuri ni cha maana. Kwa taarifa yako viongozi wengi wakatili ndani yao wamejaa uoga mwingi na wasiwasi sana.Mbona haya unayoyasema HAMKUYADAI kwa Magufuli?? Magufuli aliwateka, aliwaua, alinyang'anya fedha zenu na wengine akawajeruhi. Mama Samia alipokuja akataka kuponya nchi, mkamuona ni DHAIFU na kutaka kumpanda kichwani.
Kama ni haki ya Katiba mlishindwaje kumdai Magufuli??