Mbona haya unayoyasema HAMKUYADAI kwa Magufuli?? Magufuli aliwateka, aliwaua, alinyang'anya fedha zenu na wengine akawajeruhi. Mama Samia alipokuja akataka kuponya nchi, mkamuona ni DHAIFU na kutaka kumpanda kichwani.
Kama ni haki ya Katiba mlishindwaje kumdai Magufuli??