Bashite upunguze chuki kwa Tundu ulienda Dodoma kumpiga risasi na kikundi chako akapona ni vyema upunguze chuki maana kutwa upo makanisa usiku kwa waganga wa kienyeji kwa mujibu wa rafiki yako Le mutuz, chagua moja basi kama ni chuki jumla jumla? au ni kuomba uteuzi kwa mtukufu lakini usitumie chuki juu ya Lisu kusaka uteuzi kama yule Tumbili kafulila anavyohaha sasa kutengeneza makala za kila aina ili mtukufu amkumbuke.Naongelea Mtei Mwanzilishi wa Chadema sio Ndesamburo
Hapa umekuja kivingine lakini ujue Bashite huwa hakuna mabaya yasiyo na mwisho walikuwepo akina Bokasa, Abacha, chiluba, Elbashiri, mabutu, Gadafi, Sadam Hussein, Iddy Amin dada leo hii wapo wapi?Kuna mambo hayapo sawa
Bashite anasaka uteuzi kwa udi na uvumba kaamua kutumia kivuli cha Lisu kubahatisha uteuziAcha uchochezi na uchonganishi, soma ratiba hivi hujasoma RATIBA kwamba bado Lissu yupo sana Arusha? Mbona ccnm mnapenda kufitinisha watu namna hiyo???
Mama Maria Nyerere amewavua nguo hadharani mmebaki mnahaha like headless chicken 🤣🤣🤣Kamanda Tengeru ipo wapi?
Hakuna Dhambi mbaya kama kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani na sasa ipo dhambi ingine ya hovyo zaidi Dhambi ya kupita bila kupingwa kienyeji kishetani kwa njia haramu.Magu huyu aliyetupitisha watz wenzie kipindi cha giza kwa miaka mitano anahangaika tu.
Kamwe hawezi kuja kufanana na Mwalimu Nyerere kwa lolote. hata aende kugalagala kwenye kaburi lake, usiku mzima.
Yani hawalali mkuu wana hali mbaya sanaHivi kumbe siku hizi Mzee Mtei anaishi Arusha?
Aisee Mataga Lissu amewabananisha kwenye kona ya kitanda mmeanza kulia-lia.
Hahahaha nikikusoma between the lines, unaonekana umepanic!!Lisu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa Chadema Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu
Anagombea uraisi bila kupata baraka ya mwasisi wa Chadema atashindwa uchaguzi vibaya mno mapema asubuhi
Nashangaa!!! pale atakuwa alienda kulilia pesa za Ndesamburo na kuzikumbuka!!! Kaacha kusalimia mwanzilishi Mzee Mtei anakimbilia kaburini kwa Ndesamburo!!!Kaacha kwenda kumsalimia mtu mzima kaenda kumsalimia mtu mfu mzee ndesapesa..kweli pesa sabuni ya roho hadi kaburi linaabudiwa kuliko aliye hai.
Lisu kwenda Arusha halafu akashindwa kwenda kumsalimia mwasisi wa Chadema Mzee Mtei alipoenda ni ukosefu wa adabu.
Anagombea uraisi bila kupata baraka ya mwasisi wa Chadema atashindwa uchaguzi vibaya mno mapema asubuhi.